Arsenal (The Gunners) | Special Thread


AW is building a profit making team not a title winning team

i think those coaches were having different motives (winning the crowns) to those of our coach (balancing the check books)
 
AW is building a profit making team not a title winning team

i think those coaches were having different motives (winning the crowns) to those of our coach (balancing the check books)
Sasa wewe mpiga kelele wa uwanjani na vibanda umiza (shabiki) unafaidika nini na hiyo profit inayoingia?

Mpira makombe hayo mambo ya profit wanajua wao huko
 
Sasa wewe mpiga kelele wa uwanjani na vibanda umiza (shabiki) unafaidika nini na hiyo profit inayoingia?

Mpira makombe hayo mambo ya profit wanajua wao huko

Usiwe mshabiki wa kutupwa wa matimu ya watu, ni utumwa mbaya sana. Team yenyewe haikuwa na kikosi cha kwanza, ingawa wamecheza mpira mzuri na mapungufu yameonekana. Yanayo baki ya kwao na hela zao, wewe tafuta zako, wacha kung'ang'ania mifuraha usiyochangia hata mia kuitengeneza.
 
Hahahaaaaaa acha nicheke tu, kwikwikwiiiii


Vipi mustafi tutalajie lini?
 
Mkuu Richard nadhani sasa utakuwa umeanza kumuelewa Wenger.
Mehrez alitajwa sana na media kuwa anawaniwa na wenger lakini mwisho wa siku kaishia kujiimarisha pale pale leceister kasaini mkataba mpya mpaka 2020.
Babu Wenger amekuwa ni mtu wa kutaja tuu hivi sasa sidhan kama ataweza kumsajili tena huyo Mustafi kwasababu kaachana na huyo wa paund milion 30 sasa hivi anamfukuzia beki wa atretico ambaye ana thamani ya paund milion 40 hivi kweli hii inaingia akilini.
Kama nilivyowahi kusema huko awali binafsi naamin Wenger hawezi kusjili tena mchezaji mweny thamani ya paund milion 30 au zaidi kwasababu imekuwa ni utamaduni kuwa humsajili mchezaji mmoja tu wa dau hilo kwa msimu na kwa msimu huu tayari ashatoa pesa hiyo kwa xshaka, So kama wenger atasajili tena basi ni wachezaji wa paundi milion 20 kushuka chini na ndio hapo tusishangae upande wa beki tukaletewa John Evans na striker asisajiliwe kisha akakwambia kulejea kwa sanogo ni kama Usajili mpya.
 
What is FIFA

F= Football
I= Is not
F= For
A= Arsenal

 

Wenger huu ni msimu wake wa mwisho Arsenal na meneja mpya tayari amepatikana.

Hata tena mvuto kwa wachezaji mahiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…