Inaweza kuwa ni plot ya wachezaji wote lakini kwa faida ya timu inasaidia kumkumbusha Wenger umuhimu wa kusajili mshambuliaji ambae ni mmaliziaji mzuri.
Ila hii itakuwa ni mara ya pili Ozil kwenda public maana mara ya kwanza alitamka maneno ya kuonyeshwa kukasirishwa na Giroud na Wenger akakaa kuzungumza nae kuhusu hilo.
Tatizo ni kwamba mipangoya siri ya Arsenal ni Wenger, Gazidis na bodi ndiyo wanafahamu si mwingine.
Kuna tetes za lendawoski yule wa bayern umezisikia ?
Huyo itakuwa vigumu.
Bado Arsenal wanaweza kusajili mshambuliaji dakika za mwisho.
Wanaweza kurudi kwa Lacazette na kuongeza dau.
Kama nilivyosema huko nyuma Arsenal walikwishapanga kutumia si zaidi ya 100M msimu huu.
Usiishi kwa kukalili, dirisha kubwa la usajili msimu uliopita chelsea ilimsajili pedro tu
Ahame Arsenal anaweza asiumie tena, kama RvPChupa ya chai kweli yule bwana mdogo sijui inakuwaje hasa katika umri mdogo hivi yaani huwa sielewi nikikumbukaowen hagreves majeruhi yalimrudisha nyuma sana
Hizi bange hizi, umehangaika na goggle toka jana ndio umerudi na hayo majina?wewe taahira, hujui mambo ya mpira, unaangalia mpira kwenye vibanda mnadanganyana unakuja jukwaani kuandika upupu. Ukikuta wanaume wanaongea, funga bakuli lako.
Msimu 2015/16 Chelsea imenunua wachezaji wafuatao:
1. Danilo Pantic Kutoka Partizan Kiasi Pound 1,250,000 Tarehe 01.07.2015
2. Asmir Begovic Stoke 8,000,000 13.07.2015
3. Kenedy Fluminence 6,300,000 27.07.2015
4. Baba Rahman Augsburg 21,700,000 11.08.2015
5 Pedro Barcelona 21,000,000 20.8.2015
6. Papy Djilodji Nantes 2,700,000 01.09.2015
7 Michael Hector Reading 4,000,000 01.9.2015
8 Marco Amelia Milan 08.10.2016
9 Matt Mazga NY Red Bulls 3,500,000 30.1. 2016
10. Mitchi Batshuayi Marseile 33,200,000 03.7.2016
Liverpool : 5Hatari sana
Hakuna shaka game ya J2 na Liva Mabeki wasio na uzoefu wataanza (Chambers na Holdings) wasiwasi wangu kwa kasi ya Mane na Coutihno tutazuia mvua ya magoli?
Hizo ndio game za 3-3,5-4.
Benteke HANA kasi ya kumalizia krosi za SaneKocha wenu kajitahidi kuifanya timu iweze kushindana kwenye EPL na hata UEFA, je usajili wake utazaa matunda uwanjani? Tusubiri ila mimi kaniudhi jinsi alivyomtenda Benteke. Bado naamini Benteke ni mchezaji mzuri sana na mfungaji mzuri wa magoli. Namuombea akafanye vizuri huko atakakoenda.
Benteke HANA kasi ya kumalizia krosi za Sane
Anachelewa kila saa
Ni mchezaji mzuri na atafanya vyema CP aendako
Naona mna matatizo mbele nyie,mchukueni Balo
Atawasaidia sana
Nasoma kama mna m target Bonny ehehehe!Kazi mnayo kwa kweliBado babu kuna wacheza anawatarget labda watasaidia kupunguza kigugumizi cha miguu ndani ya 18 za opponents wetu.
Mhhhhh bado sijamaliza usajili. Ligi naona imwanza mapema sana hii.Mpo tayari kuuwa vichwa jumapil?
Imani ya kweli ina uwezo wa kuhamisha milimaJumapili Tutashinda