Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal na Man city wote wanacheza kama hawataki . Kuanzia Jmosi ijayo tutapendana na kuchukiana humu.
 

Arsenal na meneja wao Arsene Wenger wakijiandaa na mechi ya kirafiki.


Arsenal wakiingia uwanjani Ullevi- inatankwa Ulovi.

Wakuu, mechi ni nzuri inachezwa katika kiwango cha kawaida lakini kinachoburudisha.

Hadi sasa Arsenal 2 Man City 1


Aguero akifurahia goli la kwanza alilofunga dakika ya 30


Alex Iwobi alisawazisha goli na kufanya ngoma 1-1.

Goli la Man City lilifungwa na Sergio Aguero mapema katika kipindi cha kwanza.


Aaron Ramsey akiwa kazini.


Alex Sanchez akiwa kazini.


Theo Walcott nae akaweka goli la pili dakika ya 72.

Arsenal Goal, anafunga Chuba Akpong

Arsenal 3 Man City 1

Man city goal

Arsenal 3 Man City anafunga Iheanacho.
 
Arsenal 3-2 Man Citey, dakika ya 87 Citey wanafunga lao la 2
 
Mabeki wa Arsenal wanatuonyesha yale yale... Wanazorota.
 
Oh fick, Jamaa kaumia vibaya, nilikuwa natania sasa naona atamiss kweli mechi kadhaa kama sio kibao.
 
Arsene Wenger itabidi afunge biashara ya usajili wa Schodran Mustafi.
 
Dah hii itamweka at least miezi kama 2 out. No Per, No Gabriel no Kos mechi 2 au 3 za mwanzoni. We are faecked.

Yupo Bielik, Chambers na Holding hawa ni wachanga mno kuwakabili Liverpool.

Wenger anafanya mawasiliano usiku huu.

Jana Arsenal walikuwa wamsajili Thomas Vermaelen lakini wakamwachia aende FC Roma.

Mustafi sasa ni target namba moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…