McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,562
Ivi ni mara ya kwanza goli kukataliwa ndio maana kuna sheria 17 za soka acha mboyoyo.Walishapiga. Bila refa kuwabeba wazee wa Panadol ubao ungesomeka Westham 5 - 3 Arsenal. Mshukuru hizo goli mbili zilizokataliwa.
mboyoyo mimi au nyinyi mnaogombea nafasi ya tatu.Ivi ni mara ya kwanza goli kukataliwa ndio maana kuna sheria 17 za soka acha mboyoyo.
Umesahau kama amewekewa kandarasi ya miaka mitatu zaidi. Ikiwa na maana yupo nasi miaka minne zaidiNaamini huu ndo msimu wa mwisho kwa Arsenal inayoongozwa na kizee kilichoishiwa mbinu kubaki top 4.
Bado mnae huyo.Naamini huu ndo msimu wa mwisho kwa Arsenal inayoongozwa na kizee kilichoishiwa mbinu kubaki top 4.
Ngoja atoke top 4 aitafute nafasi ya 7 au ya 8 ndo tuwaone hao wazee vikongwe wanaoendelea kumweka pale kama wataweza imudu presha kutoka kila upande,,,hata msimu huu natamani sana tutoke top 4.ili kuwe na sababu ya wenger kuondoka.Natamani iwe 1.Leicester 2.Spurs 3.Man city 4.Man u au yoyote akili itarudi.Umesahau kama amewekewa kandarasi ya miaka mitatu zaidi. Ikiwa na maana yupo nasi miaka minne zaidi
Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
wanaofungwa mbona wengi tu, kuna timu ngapi ziko chini ya Wenger, alazimishwe tu Kroenke amuachie timu kichaa Usmanov...awanunue kina Ronaldo. Sipati picha mtu kama Wenger akabidhiwe Real Madrid itakavyotisha!Binafc hyu babu ananiboa sana, aondoke tu
Wenger hawezi kubadilika akili imefika ukomo hapo.wanaofungwa mbona wengi tu, kuna timu ngapi ziko chini ya Wenger, alazimishwe tu Kroenke amuachie timu kichaa Usmanov...awanunue kina Ronaldo. Sipati picha mtu kama Wenger akabidhiwe Real Madrid itakavyotisha!
Source mkuu...Broken Egg... Wenger amesema huu ndio utakuwa mwisho wake wa mwisho kukochi Arsenal.