Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa mpira waliocheza na wanaocheza Arsenal siku hizi, nitajie mchezaji hata mmoja anayecheza lwa kuonyesha anataka mafanikio. Sanchez nae anaanza kuharibiwa na mfumo.
 
Barcelona tukimchukua OZIL litakuwa bonge la usajili. Coz midfielder itakuwa vizuri sana kuisaidia Iniesta. Itakuwa bonge ya replacement ya Xavier
Roho safi kabisa, kama Barca wanataka wawe perfect huyu ndiye jamaa wao! Huyu ni mtengenezaji, sio mkabaji. Barcelona itamfiti kabisa!
 
Kwa mpira waliocheza na wanaocheza Arsenal siku hizi, nitajie mchezaji hata mmoja anayecheza kwa kuonyesha anataka mafanikio. Sanchez nae anaanza kuharibiwa na mfumo.
Chambers, Mertesacker na Gibbs. Teh, teh, khe khe, kheeeeeee.

Bila kutania ni Coquelin na Campbell hawa wanaonekana kujituma uwanjani.

Magazeti yalimsifu sana Sanchez, umaarufu umemvimbisha kichwa.Kwa sasa anakimbia kimbia tu kama Hazard wa Chelsea.
Ozil ni bingwa wa pasi lakini hawezi kukabiliana na wanaocheza mpira wa misuli.

Nahisi Arsenal kukaa na mpira sana nyuma kwenye tafu yao inawagharimu sana. Pia wanaposhambulia na mabeki kusogea mbele sana wanakuwa ni uchochoro inapotokeo Timu pinzani kutumia pasi refu kufanya counter-attack.The weakest link anakuwa Per M.sacker.
 
Dah! Aisee nakubaliana na wewe. Campbell pamoja kuwa ni average player ila anapigana!
 
If I were Arsenal manager, I'd sell half these players. Bunch of lazy, heartless, overpaid prima donnas.
Disgrace to the shirt. #afc
Kutoka kwa mmoja wa shabiki wa Goons maarufu, Piers Morgan.
Huyu jamaa namkubali sana aisee, serious jamaa anajua anachongea.
 
Barcelona tukimchukua OZIL litakuwa bonge la usajili. Coz midfielder itakuwa vizuri sana kuisaidia Iniesta. Itakuwa bonge ya replacement ya Xavier
Hana umuhim barca uyo anaflop big match barca tumejitosheleza kila idara
 
Roho safi kabisa, kama Barca wanataka wawe perfect huyu ndiye jamaa wao! Huyu ni mtengenezaji, sio mkabaji. Barcelona itamfiti kabisa!
Mchezaj asiekaba hatakiwi hasa pale mnapokutana na timu inacheza kwa misuli unalia aisee....hawezi cheza barca yule
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…