Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Ooo Yeah .. .... si uliona hata alipotoka kijana mdogo bado alikuwa ana-enjoy .... ..... .... ametoka kwenye majeruhi kwa hiyo bado hajawa sharp ni sawa na wachezaji wengine si uliona vitu vya Theo ... ... ....Usisahau hata Eduardo bado hajarudisha sharpness yake yaani mwaka huu tungekuwa tumeshawatimulia vumbi long time.
Theo ... ... answer
Inabidi afanye kazi ya ziada kwani Fab ndo majeruhi na Bend ndo hivyo tena yeye na goli lakini anakosa.Dogo alicheza vizuri sana juzi huyu,hope atacheza vizuri pia game na Porto
Wenger : Let's make history ... ....
FOUND A KEEPER? ... Wenger in training for the Porto clash
Nasri to play a pivotal role ... ...
Hawa Porto tunawalamba 3-1 who is next Man or barcelona we don't care ni kichapo tu
Hawa Porto tunawalamba 3-1 who is next Man or barcelona we don't care ni kichapo tu
Kula tano mtu wangu Man U wanatolewa na AC Milan nyumbani kwao Old Traffordbarcelona hao ni wa kisasi cha fainali, kisasi cha man kwanza ila nahisi mashetani hawa watatolewa na madrid if not milan!
hii naona ndio bye bye gallas.nadhani mda umefika pia and i hope wenger ataleta top class defender kuziba nafasi hio.Gallas facing huge pay cut to remain at Arsenal
Tuesday March 09 2010
ARSENAL are planning to tell William Gallas that he must take a huge pay cut if he wishes to stay at the club after his contract expires in the summer.
The France defender's representatives are due to meet Arsene Wenger this week to renew negotiations over a contract extension after talks reached an impasse in January over the length of the new deal.
Arsenal's club policy is to give only one-year contracts to players aged over 30, an offer Gallas has rejected out of hand because he is seeking a two-year deal.
In this week's meeting Wenger will propose a compromise whereby Gallas would receive a two-year contract for the value of the one-year deal already on the table, effectively meaning his £80,000 wages would be halved to £40,000 a week.
In addition, the 32-year-old would also receive a £500,000 bonus if he stays at the club until the second year of the new contract, to be triggered at the start of the 2011-12 season.
It is unclear whether Gallas will be willing to accept such revised terms, but it is likely to be the best offer he will receive from Arsenal, who are determined to keep their wage bill under control.
Gallas may prefer to take his chances elsewhere because he has attracted interest from Roma, Marseilles and Paris Saint-Germain, even though none of them are likely to improve on Arsenal's offer.
Wenger's attitude towards ageing players was perhaps vindicated yesterday when Gallas broke down in training with a recurrence of a calf injury. "He felt very well yesterday and went out training, but he has gone backwards again," Wenger said.
"We don't know how long it will be, but for Hull on Saturday he has no chance." (© The Times, London)
hii naona ndio bye bye gallas.nadhani mda umefika pia and i hope wenger ataleta top class defender kuziba nafasi hio.
Mkuu ni kweli hawa wapo na ni wazoefu ila wanahitaji kijana mdogo ili wamfundishe kazi ili wakati wao wa kuondoka ukifika basi awepo kijana ambaye keshapata uzoefu kutoka kwao.Yupo Sol Campbell! Hakuna haja ya kununua mwingine, Silvester pia anaweza kuchukua mkoba
Naomba yasitokee haya huyu Bwana Suleiman Omondi yaonekana alikuwa Arsenal damu.R.I.PChondechonde shemeji na jirani zetu wa KENYA. Watchini hii gemu ya leo ktk groups. Kama tukipoteza bahati mbaya Mkimaliza kuangalia mechi sindikizaneni makwenu na mpeane moyo kua bado tuna chance nyingine ya kutwaa PL.
Nasema hivi coz hatutaki ku-potoza washabiki wa Arsenal kwa kujinyonga kwa kamba za mbuzi mazee.
RIP to a kenyan Arsnl fan who did hang himself a year ago after Arsnl were knocked out of CL.
Goteni basi.
Mkuu ni kweli hawa wapo na ni wazoefu ila wanahitaji kijana mdogo ili wamfundishe kazi ili wakati wao wa kuondoka ukifika basi awepo kijana ambaye keshapata uzoefu kutoka kwao.
Yupo Sol Campbell! Hakuna haja ya kununua mwingine, Silvester pia anaweza kuchukua mkoba