McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,561
That's good, napenda sana watu wenye confidence kama yako, walishafungwa na Bilbao, celta Vigo na waka hustle sana kwa atletico, why not you? You can make it.Tatizo letu Arsenal huwa tunawapa Barcelona too much respect, hawa ni kuwagongea a typical English game, bahati mbaya hatuchezagi English game, ila Barca leo anakaa, 3-1 kwao wanaenda kutupiga 5-3, tunasonga mbele on away goals.
Duh nimehakiki ID yako zaidi ya mara 3 mkuu,ni weww au akaunti yako imenyakuliwa?haaa haa thanks mpwa ngoja tusubiri muda tukomae na hawa wendawazimu wa Spain.That's good, napenda sana watu wenye confidence kama yako, walishafungwa na Bilbao, celta Vigo na waka hustle sana kwa atletico, why not you? You can make it.
Go gooners nipo kwenu leo aisee, all the best.
Wadau, nitapataje kitufe cha STYLE CHOOSER humu JF ili niweze kuondoka kwenye matumizi ya DESKTOP style niende kwenye WAP style? mbona kile kitufe cha kubadili STYLE sikioni tena? anayakiona tafadhali asaidie kunielekeza kilipohamisiwa tafadhali. hii desktop style inanizingua sana.
Tatizo letu Arsenal huwa tunawapa Barcelona too much respect, hawa ni kuwagongea a typical English game, bahati mbaya hatuchezagi English game, ila Barca leo anakaa, 3-1 kwao wanaenda kutupiga 5-3, tunasonga mbele on away goals.
Unaenda Pub mapema yote hii?Na cha muhimu pia ni Arsenal kuhakikisha wanamiliki asilimia 30 ya mpira na wakifanyahivyo huku wakiwa wanawazuai jamaa eneo lao basi kuna ahueni na huenda wakaenda hata mapumziko 0-0.
Tatizo kasi yao ya uchezaji Messi na Neymar nakule mbele Suarezndiotatizo lakini Gabby amekosekana sana maana angeweza kumkabili Suarez vilivyo.
Mertesacker ana wajibu wa kuacha kuhamaki na ahakikishe anawasiliana vizuri na boss.
Kwa kifupi Arsenal leo itacheza kama ilivyocheza na Bayern Munich au Man City lakini bila kuachia sana ball possession kwa Barca.
Tusubiri mtanange mimi sasa ndio najiandaa kuelekea pub.
Punguza viroba Mkuu.Tatizo letu Arsenal huwa tunawapa Barcelona too much respect, hawa ni kuwagongea a typical English game, bahati mbaya hatuchezagi English game, ila Barca leo anakaa, 3-1 kwao wanaenda kutupiga 5-3, tunasonga mbele on away goals.
Yangekuwa ni maajabu ya namna gani shabiki wa Man U uipende Barca. Sasa subiri hapo England muone moto wake leo.That's good, napenda sana watu wenye confidence kama yako, walishafungwa na Bilbao, celta Vigo na waka hustle sana kwa atletico, why not you? You can make it.
Go gooners nipo kwenu leo aisee, all the best.
Naona unaeleza utadhani ni kazi rahisi Arsenal kufanya hivyo, mna nani wa kuzuia Winga za Barca zisicheze akina Messi na Neymar, najua upande wa viungo ni lazima mpotee.Na cha muhimu pia ni Arsenal kuhakikisha wanamiliki asilimia 30 ya mpira na wakifanyahivyo huku wakiwa wanawazuai jamaa eneo lao basi kuna ahueni na huenda wakaenda hata mapumziko 0-0.
Tatizo kasi yao ya uchezaji Messi na Neymar nakule mbele Suarezndiotatizo lakini Gabby amekosekana sana maana angeweza kumkabili Suarez vilivyo.
Mertesacker ana wajibu wa kuacha kuhamaki na ahakikishe anawasiliana vizuri na boss.
Kwa kifupi Arsenal leo itacheza kama ilivyocheza na Bayern Munich au Man City lakini bila kuachia sana ball possession kwa Barca.
Tusubiri mtanange mimi sasa ndio najiandaa kuelekea pub.
Jaribu kuGoogle.Wadau, nitapataje kitufe cha STYLE CHOOSER humu JF ili niweze kuondoka kwenye matumizi ya DESKTOP style niende kwenye WAP style? mbona kile kitufe cha kubadili STYLE sikioni tena? anayakiona tafadhali asaidie kunielekeza kilipohamisiwa tafadhali. hii desktop style inanizingua sana.
And you have never won ECLDear Haters.
This is Arsenal.
1.No English club had Beaten Real Madrid at Bernabeu..WE DID.
2.No English Club had Beaten Inter Milan at San Siro...WE DID.
3.No English Club had Ever won the EPL without losing a single match...WE DID.
4.No English club had Ever won the Title at their Rivals ground..WE DID at Old Trafford,White Hart Lane and Anfield.
5.No player ever scored aganist 20 different clubs in the EPL,Robin Van Persie Did.
6.No English Club had a comeback and win a goal down on four consecutive occasions.WE DID.
More to come!
WE ARE ARSENAL
Ahahahahahahahahahahahaaaaaaa wataelewa tuuuuuuu!!!!
Arsenal anashinda kwa goli 1 - 0[/QUOT
Hahaaa nyie jipeni moyo tu...mtanyea debe leo, hii ndio el barca