Leo ni FA matchday ikiwa ni fifth round mtanange unapigwa home(Emirates) ambapo the HOLDERS(Arsenal) wanawakaribisha Hull City kwa mara nyingine ikiwa ni mara ya 3 mfululizo toka FA final mwaka 2014 ambapo wanakutana,referee ni Michael Lislie'Mike' Dean naamini tunamjua kwa kumbukumbu ya game ya mwisho aliposimama katikati balaa alilolileta kwa hali ilivyo na presha kuna dalili Arsenal akashusha almost half of full squad kama kuatakua na mabadiliko ni machache.
Karibuni tuendelee kupeana updates,Mungu bariki timu yetu Arsenal tupate ushindi leo.
#COYG