BUSARA6 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2007 Posts 357 Reaction score 52 Mar 6, 2010 #4,641 Huyu mlevi ameshakosa magoli mangapi leo?
Wacha1 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2009 Posts 16,676 Reaction score 8,246 Mar 6, 2010 #4,642 Bendtner sasa toa nje bana - nafasi sasa apewe mara ngapi nafasi kama hizi?
Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 8,635 Reaction score 2,209 Mar 6, 2010 #4,643 naona wamemleta bikey aje kuleta ugali wake sio.nilikuwa nimemsahau.
Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 8,635 Reaction score 2,209 Mar 6, 2010 #4,644 Wacha1 said: Lakini Bendtner leo sijui vipi nafasi karibu 4 sasa Wow! Click to expand... kasahau kwamba mwaka huu bingwa anaweza hata kupatikana kwa goal difference naona.
Wacha1 said: Lakini Bendtner leo sijui vipi nafasi karibu 4 sasa Wow! Click to expand... kasahau kwamba mwaka huu bingwa anaweza hata kupatikana kwa goal difference naona.
Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 8,635 Reaction score 2,209 Mar 6, 2010 #4,645 labda eduardoo atapigilia misumari ya mwisho.
Ng'wanza Madaso JF-Expert Member Joined Oct 21, 2008 Posts 2,268 Reaction score 338 Mar 6, 2010 #4,646 Duh leo ni ajabu kuona Wenger anamtoa Bend, sijui kwa nini Wenger anampenda sana huyu jamaa na huwa anapenda kumchezesha dk 90
Duh leo ni ajabu kuona Wenger anamtoa Bend, sijui kwa nini Wenger anampenda sana huyu jamaa na huwa anapenda kumchezesha dk 90
Wacha1 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2009 Posts 16,676 Reaction score 8,246 Mar 6, 2010 #4,647 Eduardo anambadilisha sasa, lakini pengine ndio vizuri ili Jumanne wawe more solid kwenye mechi ya Porto.
Eduardo anambadilisha sasa, lakini pengine ndio vizuri ili Jumanne wawe more solid kwenye mechi ya Porto.
RayB JF-Expert Member Joined Nov 27, 2009 Posts 2,751 Reaction score 201 Mar 6, 2010 #4,648 Hatimaye katoka sasa ingawa Eduardo hayupo ktk ile move ya enzi
RayB JF-Expert Member Joined Nov 27, 2009 Posts 2,751 Reaction score 201 Mar 6, 2010 #4,649 Hawa vijana bwana wapige goli la tatu bana watu presha itue hapa
Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 8,635 Reaction score 2,209 Mar 6, 2010 #4,650 yani huyu ben katufanya tukae roho juu mpaka saa hizi kusubiri kipenga cha mwisho wakati game ilikuwa aimalize zamani sana.
yani huyu ben katufanya tukae roho juu mpaka saa hizi kusubiri kipenga cha mwisho wakati game ilikuwa aimalize zamani sana.
Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 8,635 Reaction score 2,209 Mar 6, 2010 #4,651 jamaa wametukosa kosa
Ng'wanza Madaso JF-Expert Member Joined Oct 21, 2008 Posts 2,268 Reaction score 338 Mar 6, 2010 #4,652 Huyu Asharvin na Bend mchezo wao uko sawa?
Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 8,635 Reaction score 2,209 Mar 6, 2010 #4,653 aaaaaaaaaaarshaaaaaaaaaaaaaaavinnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn tumemaliza kazi.
Ng'wanza Madaso JF-Expert Member Joined Oct 21, 2008 Posts 2,268 Reaction score 338 Mar 6, 2010 #4,654 Goooooooooooooooooooooal
Wacha1 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2009 Posts 16,676 Reaction score 8,246 Mar 6, 2010 #4,655 Arshavin 3 good stuff and its allover.
Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 8,635 Reaction score 2,209 Mar 6, 2010 #4,656 na mpira umekwisha .ben leo katuangusha sana manake magoli yake tungeenda kileleni vizuri.
RayB JF-Expert Member Joined Nov 27, 2009 Posts 2,751 Reaction score 201 Mar 6, 2010 #4,657 Safi sana arshavin, ila bend leo!!?
Wacha1 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2009 Posts 16,676 Reaction score 8,246 Mar 6, 2010 #4,658 Fabregas akishangilia goli lake
Wacha1 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2009 Posts 16,676 Reaction score 8,246 Mar 6, 2010 #4,659 Ten minutes later and Arsenal go back in front. Looking to book a place in Fabio Capello's World Cup squad, Theo Walcott curls a delightful left-foot shot inside the far post to beat Jensen
Ten minutes later and Arsenal go back in front. Looking to book a place in Fabio Capello's World Cup squad, Theo Walcott curls a delightful left-foot shot inside the far post to beat Jensen
Kweli JF-Expert Member Joined Jul 14, 2007 Posts 1,152 Reaction score 304 Mar 6, 2010 #4,660 Niklas Bendtner π±π±ππ Nafasi 6 za wazi!!! Sijawahi kuona hii.