Wenger alichemsha kumtoa Giroud badala ya Walcot kama alikuwa majeruhi asingemuanzisha,still mlijitahidiGiroud alitolewa kwa sababu Wenger anadhani kwamba kwa kuwa Giroud aliumia "ankle" kwenye mazoezi siku ya Ahamisi, basi angeweza kupigwa kiatu na ikaishia kukaa nje kwa muda mrefu na huku Danny Welbeck akiwa badi hajarudi.
Pili, Wenger alitaka Walcott ndie awe mshambuliaji wa pekee kule mbele kwa kutumia kasi yake, ingawa Walcott hakutimiza malengo hayo na akatolewa na akaingia Oxlade Chamberlain.
Lakini inabakia kuwa fact kwamba kwa kuwa Wenger hataki kusajili mshambuliaji wakati huu wa majira ya baridi, basi anataka awe makini na wale washambuliaji alio nao.
Ila leo Mathieu Flamini amepoteza nafasi yake ya mlinzi kiungo na Wenger alikosea sana kutomuingiza Thomas Rosicky au Mohamed Elneny kusaidia kupunguza mashambulizi ya Chelsea hasa kipindi cha kwanza alipotoka Mertesacker.
Angalia tena mpira kipa wa Chelsea alikuwa holiday na viungo wao watatu Mikel, Matic, Willian, na Fabregas walicheza kwa raha sana.
Mkuu mi utd ila Siku yangu Costa kaifanya poa sana,Kwema mkuu, yani leo mmestahili kabisa kushinda....kwa sub ile ya giroud ningeshangaa sana kuona tunapata matokeo kwa kumtegemea captain wa majaribio
Vp kuhusu campbel nae alikuwa na injury au? shida ni kwamba hatutaki kukubali kiwa wenger kakosea leo ila ukweli ndo huo
Mkuu mi utd ila Siku yangu Costa kaifanya poa sana,
Campbell ndio ilibidi atumike kama mbuzi wa kafara sio giroud.
Wenger alichemsha kumtoa Giroud badala ya Walcot kama alikuwa majeruhi asingemuanzisha,still mlijitahidi
Thanks. But, it has to end, right?Forget about him bro
Kuna ignore list option,use itThanks. But, it has to end, right?
Mkuu wenger katoa ufafanuzi,
[On taking off Olivier Giroud] "The fact is we needed to get strength on the counter-attack and needed pace. That is why I made the decision.
Mkuu wenger katoa ufafanuzi,
Arsenal manager Arsene Wenger: "The referee was very quick to take the red card out. We coped with the decision well and should have had a draw at least. We had the chances to get a draw. Mentally we were focused. Sometimes when you lose you can still say 'well done' to the players.
On the red card: "I can't influence the decision of the referee. I thought it was harsh and we had to cope with it. I don't know what to say. It is a few games now that has happened. All we can do is keep our focus and fight. Yes [on Costa making the most of the situation] That is the game of the striker. Diego Costa is good at that.
[On taking off Olivier Giroud] "The fact is we needed to get strength on the counter-attack and needed pace. That is why I made the decision.
Keshawahi lunituc jukwaani kwao but nilimjibu kistaarabu tu...Ni jambo jema kumwambia coz cc wrote ni kitu ki1 sema timu tofauti...Leo anafungwa huyu kesho yuleThanks. But, it has to end, right?
Asante. Nilikuwa sijawahi kutumia hiyp option aisee. Lakini sasa nimeitumia.Kuna ignore list option,use it
Huyo jamaa nimeshamwambia zaidi ya mara tatu uu ya lugha anazotumia humu. Lakini haelewi. Sasa nimeitumia option ya kum-ignore.Keshawahi lunituc jukwaani kwako but nilimjibu kistaarabu tu...Ni jambo jemba kumwambia cpz cc wrote ni kitu ki1 sema time tofauti...Leo anafungwa huyu kesho yule
Doh! Yaani mkishindwa hata kupata droo kwenye hii mechi, mjilaumu sana. Hawa Rent boys hawana kitu kabisa sasa hivi...yaani wanacheza kama vile wao ndiyo wapo pungufu!
Wenger alichemsha kumtoa Giroud badala ya Walcot kama alikuwa majeruhi asingemuanzisha,still mlijitahidi