Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Giroud alitolewa kwa sababu Wenger anadhani kwamba kwa kuwa Giroud aliumia "ankle" kwenye mazoezi siku ya Ahamisi, basi angeweza kupigwa kiatu na ikaishia kukaa nje kwa muda mrefu na huku Danny Welbeck akiwa badi hajarudi.

Pili, Wenger alitaka Walcott ndie awe mshambuliaji wa pekee kule mbele kwa kutumia kasi yake, ingawa Walcott hakutimiza malengo hayo na akatolewa na akaingia Oxlade Chamberlain.

Lakini inabakia kuwa fact kwamba kwa kuwa Wenger hataki kusajili mshambuliaji wakati huu wa majira ya baridi, basi anataka awe makini na wale washambuliaji alio nao.

Ila leo Mathieu Flamini amepoteza nafasi yake ya mlinzi kiungo na Wenger alikosea sana kutomuingiza Thomas Rosicky au Mohamed Elneny kusaidia kupunguza mashambulizi ya Chelsea hasa kipindi cha kwanza alipotoka Mertesacker.

Angalia tena mpira kipa wa Chelsea alikuwa holiday na viungo wao watatu Mikel, Matic, Willian, na Fabregas walicheza kwa raha sana.
Wenger alichemsha kumtoa Giroud badala ya Walcot kama alikuwa majeruhi asingemuanzisha,still mlijitahidi
 
Kwema mkuu, yani leo mmestahili kabisa kushinda....kwa sub ile ya giroud ningeshangaa sana kuona tunapata matokeo kwa kumtegemea captain wa majaribio
Mkuu mi utd ila Siku yangu Costa kaifanya poa sana,

Campbell ndio ilibidi atumike kama mbuzi wa kafara sio giroud.
 
Vp kuhusu campbel nae alikuwa na injury au? shida ni kwamba hatutaki kukubali kiwa wenger kakosea leo ila ukweli ndo huo

Labda hujanielewa tu mkuu, lakini mimi ni mmoja wa wapenzi wa timu waliokasirihsw sana na kitendo cha Wenger kumtoa Giroud kule mbele, kwa sababu Giroud ni mrefu na angesaidia kumuliki mipira mingi ya juu na kusaidia kuwavuta wenzie kufanya mashambulizi na angalau tungepata goli la kusawazisha.

Ila Diego Costa ni mjanja sana, maana alivyoanguka ni kama amevunjwa mguu.
 
Mkuu mi utd ila Siku yangu Costa kaifanya poa sana,

Campbell ndio ilibidi atumike kama mbuzi wa kafara sio giroud.

Mbuzi wa sadaka alitakiwa kuwa walcot as hayuko kwenye form nzuri mechi ya 4 leo inasikitisha kocha anamtoa mtu yuko form kama giroud halafu unamuacha walcot nadhani hata kocha wa friends rangers hawezi kuwa na maamuz mbuz hivi
 
Wenger alichemsha kumtoa Giroud badala ya Walcot kama alikuwa majeruhi asingemuanzisha,still mlijitahidi

Mkuu wenger katoa ufafanuzi,

13290cea-cdda-4420-97a5-503ab8ec8d44.jpg

Arsenal manager Arsene Wenger: "The referee was very quick to take the red card out. We coped with the decision well and should have had a draw at least. We had the chances to get a draw. Mentally we were focused. Sometimes when you lose you can still say 'well done' to the players.

On the red card: "I can't influence the decision of the referee. I thought it was harsh and we had to cope with it. I don't know what to say. It is a few games now that has happened. All we can do is keep our focus and fight. Yes [on Costa making the most of the situation] That is the game of the striker. Diego Costa is good at that.

[On taking off Olivier Giroud] "The fact is we needed to get strength on the counter-attack and needed pace. That is why I made the decision.

"It is not a coincidence that after 23 games Leicester are still there. But there is a long way to go. What we take from today is that we are disappointed but have a lot of positives from our attitude and spirit."

Nafikiri Arsenal wanajua nini wanafanya.
 
costa1.jpg

The con man has done it again
He should now wait if the FA will let him free ... ....

3088E48F00000578-3414475-image-a-17_1453653263181.jpg

3088E56E00000578-3414475-image-a-22_1453653486269.jpg

3088D95F00000578-3414475-image-a-6_1453652063305.jpg

Boiling point ... ... .

3088E4C400000578-3414475-image-a-20_1453653348372.jpg

Le prof was not amused .. ...

3088F27100000578-3414475-image-m-27_1453653800910.jpg

Moss had some explaining

30890A4F00000578-3414475-image-a-38_1453655421611.jpg

The con man at it again ... . OG was sacrificed .. ....

3089171200000578-3414475-image-a-42_1453655754127.jpg

Alexis entered the fray from the bench ... ... ..

3088FA9A00000578-3414475-image-a-30_1453654135264.jpg

OG at the bench

308919AC00000578-3414475-image-m-70_1453657358600.jpg

Second half OG ... .... watching the game ....

3089356A00000578-3414475-image-a-73_1453657611592.jpg

Le prof absolutely gutted ... ....
 
Mkuu wenger katoa ufafanuzi,

[On taking off Olivier Giroud] "The fact is we needed to get strength on the counter-attack and needed pace. That is why I made the decision.

hivi ni lini tuliwahi kufanya counter attack vs chelsea tukafanikiwa; last time ilikuwa ni ushindi wa 5-3 Stamford Bridge but since then hatujawahi kufunga goli la counter hata moja.....pia how can u counter when the opposite team is defending with more than 5 players on their penalty area
 
Mkuu wenger katoa ufafanuzi,

13290cea-cdda-4420-97a5-503ab8ec8d44.jpg

Arsenal manager Arsene Wenger: "The referee was very quick to take the red card out. We coped with the decision well and should have had a draw at least. We had the chances to get a draw. Mentally we were focused. Sometimes when you lose you can still say 'well done' to the players.

On the red card: "I can't influence the decision of the referee. I thought it was harsh and we had to cope with it. I don't know what to say. It is a few games now that has happened. All we can do is keep our focus and fight. Yes [on Costa making the most of the situation] That is the game of the striker. Diego Costa is good at that.

[On taking off Olivier Giroud] "The fact is we needed to get strength on the counter-attack and needed pace. That is why I made the decision.

Wenger kakosea kuhusu kadi. Alikuwa na options mbili kwenye hiyo interview: aidha angesema Per alikosea kufanya tackling akijua fika yeye ni mtu wa mwisho; au angesema sina haja ya ku-comment kuhusu kadi ya Per. Kama ulivyosema chief, na nilivyosema hapo awali, kuna thin line sana kati ya kufanya red card tackling offence na kinyume chake pale unapokuwa last man. Per kama beki mzoefu anafahamu hilo. Kama ulivyosema, Per angemwacha tu Diego akiomba Cech aweze kumdhibiti. Na kwa mahesabu makubwa zaidi, angeweza kufikiria faida na hasara zake: kufungwa goli na kucheza timu ikiwa kamili na ikiwa na uwezekano wa kurudisha na kuongeza; ama kupewa kadi nyekundu kwa ajili ya kuzuia timu kufungwa wakati huo, lakini ukiacha timu ikicheza pungufu kwa muda wote baada ya hapo.
 
Thanks. But, it has to end, right?
Keshawahi lunituc jukwaani kwao but nilimjibu kistaarabu tu...Ni jambo jema kumwambia coz cc wrote ni kitu ki1 sema timu tofauti...Leo anafungwa huyu kesho yule
 
Yule mchekaji mashuhuri majukwaa yote na ajitokeze kucheka na kutuwekea picha wacha1 COYG
 
Keshawahi lunituc jukwaani kwako but nilimjibu kistaarabu tu...Ni jambo jemba kumwambia cpz cc wrote ni kitu ki1 sema time tofauti...Leo anafungwa huyu kesho yule
Huyo jamaa nimeshamwambia zaidi ya mara tatu uu ya lugha anazotumia humu. Lakini haelewi. Sasa nimeitumia option ya kum-ignore.
 
Ajali kazini... Bado tuna nafasi ya kurekebisha msimu, kutereza sio kuanguka... COYG!!!
 
Doh! Yaani mkishindwa hata kupata droo kwenye hii mechi, mjilaumu sana. Hawa Rent boys hawana kitu kabisa sasa hivi...yaani wanacheza kama vile wao ndiyo wapo pungufu!

Chelsick wamejitahidi sana, wapo nafasi ya 13 sasa kwenye msimamo wa ligi hongera zao. wajitahidi wafikishe point 40 sivyo wanashuka daraja khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Wenger alichemsha kumtoa Giroud badala ya Walcot kama alikuwa majeruhi asingemuanzisha,still mlijitahidi

Kuna some politics pale, usiwe na wasi wasi Prof anafahamu anachokifanya. Lazima umtoa mchezaji sasa unaangalia ni yupi. Walcott na Campbell hawajacheza mechi nyingi kama OG. Vile vile kupoteza point 3 sio mbaya bado kuna point 45 za kushindania. Bingwa mwaka huu atakuwa na point 78 au 81.
 
Back
Top Bottom