stable-negro
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 509
- 347
ukiona spurs wanaingia kwny kinyang'anyiro basi jua gunners wanakuwa mabingwa, kiukweli natamani niwaone spurs nafasi ya pili pale ili tumalize juu yao kama ilivyo adaUbingwa kwa gunners si kwa sababu mna kikosi bora na mnacheza vizuri, hapana. Hii itategemea man city na spurs ambao ndio washindani wenu wakubwa watafanyaje kwenye game zao. Naiona leichester city ikiishiwa pumzi na spurs wakiongeza kasi. Amini spurs watawatia pressure ile mbaya. Ukiiangalia spurs ndio timu ambayo ipo organized zaidi pale epl. Hawana majeruhi, wana game spirit, pia wana kikosi kikubwa kuweza kukaboliana na majeruhi kama watatokea.