Chacha wewe bingwa Mbona ka timu ka nchangani kanakutoa jacho......76min Elneny anapasha moto misuli .... ... .... .. ... .. .
Mkuu lakini Man City walipigwa 2-0 hapahapa Britannia.Kuna mechi tunatakiwa tishinde hatushindi...Mfano ni hii na Stoke!
Teh...Chacha wewe bingwa Mbona ka timu ka nchangani kanakutoa jacho......
Haya pole sana naona jasho limekutoka kweli kweli.....Teh...
Stoke wako nafasi ya 7 kwenye msimamo wa ligi...
Wanawazidi hata Loserfools na Chelsick...Wanakaribiana na Manure...
Sio wa kuwadharau ati...
Chacha wewe bingwa Mbona ka timu ka nchangani kanakutoa jacho......
Chelsea na united kama sijakosea nao walikalishwa hapa! Britannia sio uwanja mwepesi hata kidogo, nina furaha tumepata point moja! Si haba. Kama The Gunner, huwa nakasirika sana tunapodroo na timu ambazo tungeweza kuzifunga sababu ya kukosa fighting spirit na urgence, leo hivi vitu vilikuwapo, Wenger alikuwa anaonyesha kabisa anataka pt 3 na wachezaji walikuwa wanafight!Mkuu lakini Man City walipigwa 2-0 hapahapa Britannia.
Chelsea na united kama sijakosea nao walikalishwa hapa! Britannia sio uwanja mwepesi hata kidogo, nina furaha tumepata point moja! Si haba. Kama The Gunner, huwa nakasirika sana tunapodroo na timu ambazo tungeweza kuzifunga sababu ya kukosa fighting spirit na urgence, leo hivi vitu vilikuwapo, Wenger alikuwa anaonyesha kabisa anataka pt 3 na wachezaji walikuwa wanafight!
P.s: Cech is simply the best! Mpaka sasa tuko juu pale kuna mechi single handedly katupatia points mpka sasa ana kama points nane hivi katuongezea!