everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Veepeeeee Mbona ulikimbia ghafla.......14min Cops 1 - 1 Gunners Ramsey
Veepeeeee Mbona ulikimbia ghafla.......14min Cops 1 - 1 Gunners Ramsey
Usikimbie tena mimi Leo na wewe no kuachana khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee.......19min Cops 2 - 1 Gunners
Leo kademu kangu kamekua kaoga mpaka siamini anavua alafu anavaa tena ila mimi ndio Arsenal ngoja nikamnunulie ice cream atulierubaman uko wapiii Wacha kuchungulia bana.......
Hahahafahahah usjari mkuuDaaah Karibu kwa shingo upande.
Jina likianza na Man daah nawaza tu wale wekundu na Blue bahari.
Mimi hapa niko na papcorn za kutosha naliangalia limuvii hili la nipe nikupe linaishiwa wapi.....Leo kademu kangu kamekua kaoga mpaka siamini anavua alafu anavaa tena ila mimi ndio Arsenal ngoja nikamnunulie ice cream atulie