Mr.laravel
JF-Expert Member
- Oct 1, 2015
- 471
- 514
Nakubaliana na wewe mkuu , na msimu huu tusipochukua huo ujao hatujui. Inabidi tutumie udhaifu huo msimu huu tubebe ndoo.Vile wapinzani wete wa karibu hawafanyi vyema.
Ukiangalia msimu ambao arsenal tulifanya vyema na tukaishiwa pumzi ni msimu Eduardo anavunjika. Huu siwezi kuusifia maana wapinzani wamechoka na sisi tunaafadhali kwa kumaintain standard yetu ya miaka 10 iliyopita.
Lets win epl kwa kuanza na hii match ya usiku leo.
Mimi sio muumini mzuri wa siasa za transition, kwa aina ya mpira tunaocheza pamoja na aina ya wachezaji ambao walikuwa wanagraduate kwetu hata kama tuliwauza bado sio sababu ya kukosa ubingwa.
Na pesa nyingi sio sababu ya moja kwa moja ya kuchukua ubingwa,
Angalia budget ya Liva kwa miaka 10 iliyopita kwenye usajili na mishahara ya wachezaji wao, hapo unaweza kuielewa point yangu ya msingi ambayo nimekuwa nikiishikilia daima.
Vinginevyo am happy kukubaliana na mtu kutokukubaliana juu ya mitazamo yetu as long as haiharibu mahusiano yetu juu ya kile ambacho tunakipenda wote.
Anamaanisha kuwa budget ya Liverpool ilikuwa kubwa kuliko Arsenal but still Arsenal walifanya vizuri kuliko LiverpoolLiverpool wamefanya nini cha maana EPL? nje ya wao kubeba UCL
hawana lolote jipya....you can even argue katika misimu 20 misimu ambayo wameingia top 3 au 4 haizidi mitano
wanajenga na kubomoa timu kila kukicha
Liverpool wamefanya nini cha maana EPL? nje ya wao kubeba UCL
hawana lolote jipya....you can even argue katika misimu 20 misimu ambayo wameingia top 3 au 4 haizidi mitano
wanajenga na kubomoa timu kila kukicha
Anamaanisha kuwa budget ya Liverpool ilikuwa kubwa kuliko Arsenal but still Arsenal walifanya vizuri kuliko Liverpool
Niliwahi kukuuliza Hivi Arsene wenger na Bodi walikuwa na malengo na ubingwa au Top 4 with all those years?....maana mi naweza kukuletea Ushahidi wa nachosema
isiwe ukawa unabisha tu...tukabishana sana kwa heresay
Nakurudisha Nyuma 2012 kwenye AGM (annual general meeting na Shareholders) wenger aliongea haya kuhusu
A TOP FOUR TROPHY
“Everybody is entitled to view it differently, but you can’t compare winning the Carling Cup to every year coming out of the group stage and every year qualifying for the Champions League.
“If we had been out of top European quality for 10 years and win one or two cups it would be different, but I do not try to defend the fact that we did not win trophies.
“It has always looked like ‘ah, you have not won a trophy so you have been nowhere for five years’ – but in the same five years we have been in the semi-finals of the Champions League and final of the Champions League.
“One day you will realise that it is not as easy as it looks – and this year we are again one of the two English teams who qualified for the last 16.”
--------------------
ilikuwa ni kushriki UCL ndo lengo Mambo mengine hawakuwa na mpango nayo hii ngumu kumeza kwa kuwa Fans upande wao walikuwa na Hopes zao zisizokuwapo....hakukuwa na Seriousness ya kufanya investment kubeba ubingwa mnaosema....sasa ikiwa TOP 4 ilikuwa Target hayo makombe mnayodai yangetokea wapi?
Mkuu maana yangu ni kuwa tusiweke kisingizio cha kushindwa kufanya uwekezaji wa kununua wachezaji au wa kuuza wachezaji mahiri kwa katika team kwa kuutanguliza ujenzi wa Uwanja.
My point is sio kila uwekezaji unaofanywa na team una tija, hapo mfano wa uwekezaji wa manunuzi ya kulanguliwa wachezaji uliofanywa na Liva, bado haukuweza kuwapa epl, au angalia stability ya kukaa na wachezaji wa Spurs bado hawajaweza kunyakua epl,
What i meant ni ambitions za board juu ya mwelekeo wa team, ambitions za board team ilikuwa ni kucheza ucl, ingekuwa kuchukua epl nina uhakika kwa team alizojenga babu hapo nyuma bila kujali uwekezaji wa ujenzi wa kiwanja alikuwa anaweza kunyakua, he could have planted wining metality on our players and they could delivered 120% ambayo ndio huleta mazao na sio pesa za kununua wachezaji nguri kabisa duniani. Only some additions kwenye mahitaji makubwa amabayo dhahiri kwa miaka 7 pamekuwa na mapungufu kiungo ya Mh. Gilberto.
I rest my case kwa sasa nasubiri kunyanyua kwapa May kwa kucapitalize mapungufu ya washindani wetu wakubwa wa EPL season hii kwa kukosa matokeo chanya kanjani
Kashengo naomba tukubaliane kukubaliana.
Daima nilikuwa nawaimbia watu wimbo wa malengo ya bodi lkn daima wanakimbilia mdudu uwekezaji wa uwanja.
Hilo halikunaliki kabisa. Bodi haikuweka malengo ya ubingwa kama kipaumbele ila ingetokea on the way umepatikana ingekuwa over achievement ya team na sio kama sababu au lengo la Bodi.
Babu aliweka bayana kutupunguzia chances za kuugua maradhi yanayoepukika.
Swali langu la mwisho....Kwani malengo yalibadilishwa kutoka kupigania EPL mpaka TOP 4 na Kitu gani? what happened?
unadhani bodi ya arsenal wao ni vichaa wanachukia makombe?
fans wote tuliumia sana....it was hard to take it lakini wao lengo lao la Kujenga uwanja wa kisasa in sacrifice ya few years of PAIN
that it
Swali langu la mwisho....Kwani malengo yalibadilishwa kutoka kupigania EPL mpaka TOP 4 na Kitu gani? what happened?
unadhani bodi ya arsenal wao ni vichaa wanachukia makombe?
fans wote tuliumia sana....it was hard to take it lakini wao lengo lao la Kujenga uwanja wa kisasa in sacrifice ya few years of PAIN
that it
Hebu tuangazie mazuri ya team ya kutupelekea kushinda leo ili mudi yangu iwe sawa sawa na ushindi tarajiwa
Leo hata mimi hater naona mkishinda...sipendi ila basi tu....ila sitaacha kubana mapumbu...miujiza hutokea!!!!
Hivi huyo mchezaji ni mzuri kuifaa asenali?
Price tag yake sifikirii kama Ni kigezo cha kumchukulia 'poa', cha muhimu ni uwezo wake atakaouonyesha kukidhi matarajio halisi ya timu. lakini cha muhimu zaidi ni ukubwa wa kikosi kuwa na hazina ya wachezaji. Ninaamini ile inayoitwa depth ya kikosi ndio ilioibeba hii timu mpaka hapa ilipo, Wenga alifanya la maana kuwabakiza Flamini,Arteta,Campbell, Ox,na hata Chambers. Hawa wote wamesaidia sana kupunguza kiwewe cha kukabiliana na majeruhi kwa wachezaji wa kikosi cha kwanza. ninafikiri wenga ameanza kujifunza alipokuwa anakosea kwa kuwa na kikosi kidogo kilichokuwa kinashindwa kuhimili dhoruba pale first eleven wawili watatu wanapokuwa majeruhi.Swali zuri sana
Nadhani atasaidia hadi wenye namba zao wakirejea.
The price tag tells alot about the guy. Hawezi kuwa kama Calvalho wa porto au Pogba au viungo wengine wanaouzwa bei mbaya, but i bet he can be a good addition to our yeam and the one that we can not regret to have him in our folds
Leo hata mimi hater naona mkishinda...sipendi ila basi tu....ila sitaacha kubana mapumbu...miujiza hutokea!!!!
Arsenal kuifunga Man United,Chelsea au Man City sio mpaka bodi ya Arsenal iamue still Arsenal walikuwa na nafasi kubwa kutwaa ubingwa kama Wenger angekuwa anatumia approach anayoitumia sasa.Rodgers msimu wake wa pili ilibaki kidogo kuchukua ubingwa kama asingechemsha zile game mbili ,sidhani kama bodi ya Liverpool ilitaka apiganie ubingwa lakini timu ilicheza kupigania ubingwaHakukuwa na Hizo ambition na pia hakukuwa na seriousness ya kutaka Ubingwa....argue my points nakuwekea
1.baada ya kubeba FA mwaka 2005 unaweza sema WENGER aliamua kuvunja utamaduni wake kuwa na TIMU NGUMU kama invicibles ya VIEIRA na na kuwa na timu yenye viungo vyanya kama kuamini kitoto kama Fabregas wakati huo kina mreplace Vieira, wenger Hapendi World class players?? hapendi kuwa na kikosi kama kile cha 2004?
2. Wenger alikuwa anapenda kuuza Key players wake kila Summer? ni kocha gani mjinga ambaye anaweza kukubali kuuza tena kwa jirani SILAHA YAKE? unadhani hii ni coincidence? Kolo, Ade,Clichy, Nasri wote walitimkia city, RVP akauzwa Manure
Song akauzwa barca....na list ni ndefu....kocha gani atakuwa mwehu bila kuwapo sababu aachie timu yaje ichakachuliwa namna hii? na replacement yake aifanye kununua MAKINDA?
Arsenal kuifunga Man United,Chelsea au Man City sio mpaka bodi ya Arsenal iamue still Arsenal walikuwa na nafasi kubwa kutwaa ubingwa kama Wenger angekuwa anatumia approach anayoitumia sasa.Rodgers msimu wake wa pili ilibaki kidogo kuchukua ubingwa kama asingechemsha zile game mbili ,sidhani kama bodi ya Liverpool ilitaka apiganie ubingwa lakini timu ilicheza kupigania ubingwa
Sababu za kuondoka kina RVP,Nasri,Helb,Song,Cesc,Clichy zinajulikana kwanza walikuwa na viwango vizuri kuliko hata hii timu ya sasa.Kumbuka RVP alitakiwa na ManCity,United na Juventus Nasri alitakiwa na United & City the same kwa Cesc,Helb,Flamini .Hii miaka 3 sijawahi sikia mchezaji wa Arsenal anayetakiwa na hizo timu
Sababu za Arsenal kufanya vizuri kwa sasa ziko wazi
1.Wenger amebadilisha approach hasa anapokutana na timu kubwa ,siku hizi Arsenal anazidiwa possesion still anashinda,huko nyuma Arsenal wanaingia kwenye box wanaendelea kupiga pasi badala ya kupiga mashuti Sanchez,Carzola,Ramsey siku hizi wanafunga magoli nje ya box
2.Timu pinzani (Man United,Man City,Chelsea,Liverpool) zimeshuka viwango na vimeathiriwa sana na kubadilisha makocha mara kwa mara
3. Waliokuwa average players wengi viwango vyao vimeoprove sana (Per,Berrelin,Monreal,Gibbs,Coq,Giroud,Walcot,Ramsey).Pia AW alifanya uamuzi mzuri kupunguza magarasa mengi (Diaby,Santos,Podolski,Shenzy,Chamakh,Djourou,Sanogo hawa walikuwa mizigo)
Mwisho,tukubaliane kutokukubaliana