Hii issue ya pesa imekuwa kisingizio kwa wafuasi wa Wenger kutobeba ubingwa,Arsenal mara nyingi wamekosa ubingwa kwa approach ya Wenger kwenye mechi nyingi hasa big mech siku hizi ameanza kubadilika ndio maana anashinda.Wachezaji wengi wanaofanya vizuri sasa Monrel,Berelin,Coq,Carzola,Ramsey,Walcot,Giroud,Per, wote hawa wamenunuliwa kwa hela ya kawaida
Sababu nyingine timu pinzani (Man United,Man City,Liverpool,Chelsea )zimekuwa zinabadilisha makocha kila baada ya misimu 2 na kutokuwa stable while yeye yupo siku zote ni advantage kubwa sana kwa Wenger
Wenger huwa anasema hayo maneno katikati ya msimu baada ya kuona hakuna uwezekano wa ubingwa.Still sikubaliani na hicho kisingizio cha kujenga uwanja so timu isipiganie ubingwa.ni moja ya sababu, sababu nyingine ni je ambition ya Ubingwa WALIKUWA NAYO au danganya toto?
kuna kipindi wenger alikuwa akisema wazi TOP FOUR IS LIKE A TROPHY (hakuwa na lango nje ya Top four yule)
na last season alikiri kuwa Hawakuwa wakichallenge ubingwa japokuwa walikuwa wakiwambia fans hivyo
Kwa Ozil kweli anahitaji a prolofic striker/ goal poacher kumalizia zile assists wanazopoteza kina Walcott.Na vipi kuhusu Chicharito nasikia Prof anamuhitaji.
Wenger huwa anasema hayo maneno katikati ya msimu baada ya kuona hakuna uwezekano wa ubingwa.Still sikubaliani na hicho kisingizio cha kujenga uwanja so timu isipiganie ubingwa.
Msimu huu Arsenal wamespend kiasi gani while pesa wanayo
Its clear kabisa kuwa Arsenal wanahitaji striker na back-up ya DM
Wachezaji wengi sana wameimprove (Berelin,Monreal,Giroud,Per,Coq,Walcot,Carzola) hii imeisaidia sana timu.Sijaona impact ya hizo fedha msimu huu
Makombe 3 ? you are too optimistic my friend
ubingwa ulivyo ni marathon (mbio ndefu) mpaka mwezi wa 3 unakuwa na picha kamili ni akina nani wako katika Contention ya kuubeba sio December weka akiba ya maneno muzee
Hapa ndipo ninapokukubaligi yaani huwa unaongea ukweli.....
Kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee @Wacha mambo yako weweee!!! Halafu usiwe unakimbia mambo yakiwa magumu halafu unakuja kukipoa ,usiwe unatususia Jukwaa bana.......Hongera kwa kuwa top of the leagueHome guys .... .... ...... the Gunners natumaini wote mlisheherekea sikukuu kwa mambo bam bam na sherehe murua kabisa za X-Mass na boxing day ... kwa wale tuliosafiri na kurejea kama ada sasa tunaangalia mwaka mpya maana leo ndio ile funga mwaka inaanza na kesho panapo majaliwa ndio zile sherehe za kukaribisha mwaka mpya kama jadi Sydney - Australia ndio wanakuwepo kwenye picha zaidi ikifika midnight then kuna miji kadhaa in order ... .... London .... ..... .. then Big apple ..... ... .wengine wamesingiziwa tu. Je, Dar mtoni mwaka huu itawaka JF? Stay tuned.
Nasikia kuna wanoko oooooops Mburukenges ati walikuwa wana sherehe humu tulipopoteza point 3 kule Saint Mary, OK fair and fine mcheza kwao hutuzwa hatukusema mwaka huu tutakuwa invisible .... .... goood for them kwa sababu walikuwa wako kwenye hatari kama Chelsick , new Castle et al. Tutajipanga upya na kivingine kwa sababu wamekuwa wakitusunbua sana hasa tunapokwenda kucheza kwao, mtakumbuka mwaka jana walituchapa 2 mtungi na ndio golikipa aliyekuwa anavuta sigara akapata adhabu. EPL ni marathon hivyo hesabu zote zinafungwa mwezi May. Tunawachubiri Emirates maana hapo ndio tutafahamu zipi ni mbivu. ..... Kama ada I'm back ..... .... .... Ding ..... Dong. COYG
Kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee @Wacha mambo yako weweee!!! Halafu usiwe unakimbia mambo yakiwa magumu halafu unakuja kukipoa ,usiwe unatususia Jukwaa bana.......Hongera kwa kuwa top of the league
Ozil kama kawa atatutoa kidedea ... ... .. .. Ding ... Dong
Alexis yupo njiani kurejea .... .... target FA cup tarehe 8 Jan ... .
Wacha fix weee ndo umeona unijie na gia hiyo eeeehhhhh next time nitakufata mpka ulipo nikurudishe humu....Dah yaani niwe namuwaza everlenk wakati wa sikukuu, ujue mimi wakati wa X-mass lazima niwe na family ie extended family .... ..... .. Wacha ngebe, then nikimbie kisa tunacheza na Southampton? Khe khe khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nicheke mie!
BTW sijaangalia table mpo nafasi ya ngapi? Nachikia zile sauti za Van Gaffe out zimeongezeka khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Wacha fix weee ndo umeona unijie na gia hiyo eeeehhhhh next time nitakufata mpka ulipo nikurudishe humu....
Wala usiwaze tupo pale namba 6 umetuzidi point 9 ila ndani ya week mbili zijazo January hii na February lazima nikushushe maana kupatwa kwa Arsenal ndiyo huwa kunatokea ....... ding dong ding......