Yaani wewe unamkosoa Wenger?Una utaalamu gani wa kujua kwamba Wenger ana mapungufu ambayo Guardiola hana? Guardiola ni kocha aliyekuta timu zipo ready made mifano ya Barca na Bayern inajieleza wazi. Nitamheshimu kama atajenga timu kama Wenger.Wenger aliikuta Arsenal inacheza butua butua Mungu yupo mpaka leo imekuwa timu inayocheza kandanda la kueleweka. Huwezi kujua thamani ya kitu au mtu kikamilifu mpaka umkose au ukikose. Mwisho football ni lazima timu ama ishinde, kutoka sare au kufungwa. Tatizo la mashabiki/makocha tunakosoa timu inapofungwa tunasahau kuna matokeo mengine.
Yaani wewe unamkosoa Wenger?Una utaalamu gani wa kujua kwamba Wenger ana mapungufu ambayo Guardiola hana? Guardiola ni kocha aliyekuta timu zipo ready made mifano ya Barca na Bayern inajieleza wazi. Nitamheshimu kama atajenga timu kama Wenger.Wenger aliikuta Arsenal inacheza butua butua Mungu yupo mpaka leo imekuwa timu inayocheza kandanda la kueleweka. Huwezi kujua thamani ya kitu au mtu kikamilifu mpaka umkose au ukikose. Mwisho football ni lazima timu ama ishinde, kutoka sare au kufungwa. Tatizo la mashabiki/makocha tunakosoa timu inapofungwa tunasahau kuna matokeo mengine.
Tena wakati timu ipo nafasi ya pili katika msimamo.
This are loosers mind.
Ur settling for less
Babu is not delivering anymore.
He has to go
Arsenal VS Bournemouth
Uwanja: Emirates
Baada ya kufungwa na Southampton goli 4-0 Arsenal ndani ya masaa 48 wanawakaribisha timu ya Bournemouth uwanjani EMIRATES.
Ni mechi itakayotoa mwelekeo wa timu yetu ambayo inalisaka kombe la ligi kuu ya Uingereza ikiwa inapewa nafasi ya kulitwaa kombe hilo ililolipoteza zaidi ya miaka 10 ilopita.
Katika mchezo wa jana baadhi ya wachezaii walionekana wanahitaji kupumzishwa Joel Campbell, Mathieu Flamini na Mertesacker walionekana wapo hoi.
Tusisahau kwamba ni wachezaji hawahawa pamoja na wenzao ndio wameivusha timu yetu hadi kufikia hapo tulipo ikizingatiwa kuna majeruhi kama Alexis Sanchez, Santiago Cazorla na wengine.
Nafikiri meneja Arsene Wenger bado anataka asilimia 100 kutoka kwa dream first II yake na ambayo ni juzijuzi tu waliifunga Man City.
Lakini jana Theo Walcott alionekana amepotea, Olivier Giroud akawa peke yake kule mbele na Mesut Ozil kwa kuwa amekuwa mpikaji na mtengenezaji mipira mizuri na kutoa msaada wa ushambulizi, Southampton wakaja na wazo la kumzuia kabisa asifanye yote hayo
Arsenal wakawa wamebanwa na Victor Wanyama akawa amemzidi Aaron Ramsey kwa nguvu, Southampton walikuwa wakicheza kama wapo kwenye fainali!
Sasa kwenye mechi ya kesho ningekuwa Wenger basi, Mertesacker, Ramsey na wangeanzia kwenye bench na nafasi zao zikazibwa na Gabby Calum Chambers na OX Chamberlain.
Hivyo timu itakuwa na wachezaji wapya kistamina na hivyo kutokusimama na kukaribisha mashambulizi ya mara kwa mara.
Hivyo timu ingekuwa kama ifuatavyo:
Cech, Monreal, Berrelin, Gabby na Koscielny, katikati namba 6 Calum Chambers namba 8 Aaron Ramsey, Kulia Theo Walcott Kushoto Ox Chamberlain namba 10 Ozila na namba 9 ni Giroud.
Wachezaji wa akiba- Ospina, Gibbs, Mertesacker, Campbell, Iwobi na Reine Adelaide.
Ila kuendelea kuchezesha wachezaji ambao wamechoka bila kuwapumzisha hakutaisadia timu yetu na kelele za wale mashabiki uchwara za "Wenger Out", zitarudi maana sasa hivi wapo kimya na yule mjinga wao Pierce Morgan.
COYGs!
Richard pamoja na kuheshimu mchango wako .Napenda kukufahamisha kwamba Wenger alipanga timu kwa wachezaji aliokuwa nao wakati huo.Responsbility ya wachezaji ni kufuata maelekezo ya Wenger. Football ni gemu ya makosa na linapotokea kosa ndipo goli linafungwa. Arsene Wenger ni bonge la kocha na makosa unayoyaeleza katika upangaji timu I beg to differ with due respect. Hakuna timu haifungwi. Wenger ame achieve kile ambacho kila kocha anakitamani, kuwa kocha pekee kwenye Premier league aliyeongoza timu ikawa unbeaten. Arsenal hii inahitaji wachezaji 2 at least kuipiku hiyo record.
Wenger ni bonge la kocha na kaisogeza Arsenal mbele, ila wakati anaichukua, BADO ILIKUWA NI TIMU KUBWA, walikuwa wa pili nafikiri kwa kuchukua vikombe vingi vya EPL, ambayo ilikuwa ikiitwa first division, 10 trophies to be precise, ni 1996 hiyo na ni liverpool pekee ndo walikuwa navyo 18. Manchester united walikuja kutupiku. Wenger kashinda EPL TITLES 3, sasa jumla ni 13, ya tatu nyuma ya Manu yenye 20 na liver yenye 18. Wakati anaikuta ilikuwa pia na Fa trophies, hivyo ilikuwa ni timu kubwa tayari, ingawa yeye kaifanyia revolution kubwa zaidi. Wenger atakumbukwa daima kwa kuweka msingi wa kuiwezesha timu kuwa na financial muscles kushindana ktk modern football!Arsene wenger nje ya hiyo Invicible squad
huwezi kufumba macho kuwa kakuta club ni ndogo ni ya 20 huko katika European Richest Football club....(saivi iko Top 10) huwezi kufumba macho kuwa Arsenal walikuwa na TINY STADIUM kama uwanja wa taifa wa zamani na mawazo yake yamewasaidia kujanga NEW STADIUM na akabakia kipindi chote cha KUWA NA BAJETI MBUZI kwa sababu za madeni
Mashabiki what we see ni Results za uwanjani....mpira ni zaidi ya matokeo na wenger Ameachive sana
#inwengeritrust
Richard pamoja na kuheshimu mchango wako .Napenda kukufahamisha kwamba Wenger alipanga timu kwa wachezaji aliokuwa nao wakati huo.Responsbility ya wachezaji ni kufuata maelekezo ya Wenger. Football ni gemu ya makosa na linapotokea kosa ndipo goli linafungwa. Arsene Wenger ni bonge la kocha na makosa unayoyaeleza katika upangaji timu I beg to differ with due respect. Hakuna timu haifungwi. Wenger ame achieve kile ambacho kila kocha anakitamani, kuwa kocha pekee kwenye Premier league aliyeongoza timu ikawa unbeaten. Arsenal hii inahitaji wachezaji 2 at least kuipiku hiyo record.Nimeona timu ikiwa na George Graham na Pia chini ya Bruce Rioch. Imepiga hatua kubwa sana.
Wenger ni bonge la kocha na kaisogeza Arsenal mbele, ila wakati anaichukua, BADO ILIKUWA NI TIMU KUBWA, walikuwa wa pili nafikiri kwa kuchukua vikombe vingi vya EPL, ambayo ilikuwa ikiitwa first division, 10 trophies to be precise, ni 1996 hiyo na ni liverpool pekee ndo walikuwa navyo 18. Manchester united walikuja kutupiku. Wenger kashinda EPL TITLES 3, sasa jumla ni 13, ya tatu nyuma ya Manu yenye 20 na liver yenye 18. Wakati anaikuta ilikuwa pia na Fa trophies, hivyo ilikuwa ni timu kubwa tayari, ingawa yeye kaifanyia revolution kubwa zaidi. Wenger atakumbukwa daima kwa kuweka msingi wa kuiwezesha timu kuwa na financial muscles kushindana ktk modern football!
P.S: Mafanikio hupimwa kwa utajiri wa thamani ya timu ktk pesa au vikombe ilivyoshinda?
Ni kweli itafika wakati LAZIMA tupate kocha mwingine, cha msingi ni yeye Wenger kuanza kuandaa msaidizi wake ila sio lazima awe 'stuborn' kama yeye!gunners tunahitaji mabadiliko makubwa wenger apumzike pembeni aje kocha mwingine aendeleze pale mzee wetu alipoishia....apumzike mbona wakina fergie wamepumzika au anataka mpaka mashabiki wamwandikie mabango,huwez chukua ubingwa bila kuwa na depth ya kikos...mzee ameendeleza tabia ya ubahili huku akitegemea miujiza ya ubingwa mbele ya dm kama flamini,
Jirani tutake radhi hatujafikia sehemu hiyo ya kuwa sample space wenu tafadhali Jirani......Baba unaposema babu is not delivering unamanisha nin?
Maana ebu tuwe serious all these years (11 years) hukuwa unajua kuwa ilikuwa ni transition? with Tight financial restrictions?
ebu nambia kocha gani kwa Financial restrictions walizokuwa nazo arsenal na kulazimika kuuza key players wake ANGEKUPA HATA HIYO TOP FOUR?
mifano iko timu zimewekeza sana for years kama liverpool TOP FOUR kwao tu ni Mbinde, manure nae anaelekea na hiyo trend
Unajua mpaka wenger AKIONDOKA ndo watu watakuja KUFAHAMU umuhimu wake....consistency aliyoacha japokuwa alikuwa na bajeti KIDUCHU miaka kibao
TIME WILL tell....wenger out brigade wengi huwa ni emotional people hawafikirii mara mbili
NAWEZA SEMA....iko siku wenger atasepa na lau kama hawakujipanga kuweka MRITHI wa maana TUTAVURUGIKA zaidi ya Manure
Time will tell.....naona watu wanakuwa hawaoni mbali
Jirani tutake radhi hatujafikia sehemu hiyo ya kuwa sample space wenu tafadhali Jirani......
Watolee mfano kina Looserfool huko siyo sisi bana tafadhali jirani bana......Ila mhhh!!!! Mparanganyike mara ngapi ππππππ
Babu yako keshajitoa jana asubuhi hajakuwepo mazoezini naona hata naye keshajikatia tamaa ....Nyie ni benchmark asee...mshavurugika sana....mnaimba #LVGOUT mwaka jana ilikuwa #MOYESOUT afu mtani ndo miaka inakatikaga hivi hivi utashangaa 5 years imekata bado mko KAPA mara 10 years....
Sie hatujavurugika tushakaa sawia...Back to Back FA cups na mwaka huu EPL were are Two horse race with CITY
nyie mko wapi? we vepeee!!!
ila leo mshinde LVG abaki #LVGIN dua yangu isikike huyu babu abakie azidi kustawisha Philosophy yake pale
Kweli mapenzi upofu aisee,Nyie ni benchmark asee...mshavurugika sana....mnaimba #LVGOUT mwaka jana ilikuwa #MOYESOUT afu mtani ndo miaka inakatikaga hivi hivi utashangaa 5 years imekata bado mko KAPA mara 10 years....
Sie hatujavurugika tushakaa sawia...Back to Back FA cups na mwaka huu EPL were are Two horse race with CITY
nyie mko wapi? we vepeee!!!
ila leo mshinde LVG abaki #LVGIN dua yangu isikike huyu babu abakie azidi kustawisha Philosophy yake pale
Kweli mapenzi upofu aisee,
Point of correction: mwaka Jana Moyes alikua sociedad man u alikuwepo van gaal.
Yaani leo hii arse8 ndio amekuwa wa kumcheka man u? Kisa kuwa wa pili kwenye ligi? Unakumbuka 2007/08? Hadi February mpo kileleni kwa point tano, mbele mna RvP na adebayo, fabregas na flamin cm, rosicky na hleb wingers, mlikua na kelele zaidi ya sasa, alipoumia Eduardo tu ndio ukawa mwisho wenu.
Leo mpo nyuma ya Leicester kwa point mbili city mnamzidi point moja zile kelele zimerudi tena.
Man u haijafika hata nusu ya miaka mliokaa nyie bila kombe (9) lolote, mmeshaanza mbwembwe zenu,
time will tell.
Babu yako keshajitoa jana asubuhi hajakuwepo mazoezini naona hata naye keshajikatia tamaa ....
Haya kila la heri mtani mimi nipo Nyuma Yako nakufukuzia taratibu angalia nisikupite tu,msimu huu bado...
Moyes mmemtimu mwaka jana 2014 (simaanishi msimu uliopita)
asee Graph yako ILIKUWA kwenye Boom sasa lazima itiririkie kwenye Depression/crisis na inakuwaga hivi hivi miaka inakatika mna miaka mitatu inaelekea sasa (unajua hilo?)
utakuja hesabu 10 years ha ha ha ha empty handed dadeki
mtulie tu mtuache tupiganie ubingwa mwaka wetu huu
khe khe khe khe kheeeeeeee!!
tuna trend inayoonyesha improvement sio haba we have won TWO FA cups in two years in succession