Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

10338655_922477597805798_7926390088013438783_o.jpg
 
Mwaka wetu huu lazima tuchukue EPL,uwanja tumejenga hatuna deni lolote,kwanini Tusiwe wabingwa........ #COYG

Huyu ndo Wenger ninayemfahamu mimi furaha kidogo machozi sana........
 
Mwaka wetu huu lazima tuchukue EPL,uwanja tumejenga hatuna deni lolote,kwanini Tusiwe wabingwa........ #COYG

Huyu ndo Wenger ninayemfahamu mimi furaha kidogo machozi sana........

Yuko wapi Wacha1 A. K. A mungiki mzee wa Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee dind dong..........
 
Attachments

  • 1451167574387.jpg
    1451167574387.jpg
    27.1 KB · Views: 169
Last edited by a moderator:
Mwaka wetu huu lazima tuchukue EPL,uwanja tumejenga hatuna deni lolote,kwanini Tusiwe wabingwa........ #COYG

Huyu ndo Wenger ninayemfahamu mimi furaha kidogo machozi sana........
Kwa Arsenal hii ni lazima kuwaombea njaa maadui hasa Mancity, kwa miguu yetu pekee sisi The Gunners ni ngumu sana, hamna fighting spirit. LAZIMA TUSEME UKWELI, unafiki sio mzuri!
Nawe naona europa nayo inataka kukukimbia!
 
Nimekula, wameniudhi sana! Unajua unaweza fungwa ila bado ukaikubali timu sababu ya kuonyesha kupigana mpaka jasho la mwisho, ila sio leo!
Nimepewa za uso NNE hapa uso umeumika sioni vizuri.
Leo Arsenal walitaka kuongoza ligi. kwa kuteleza teleza kwa mabeki hovyo sio mlo wa X-mas kweli?

Yale mabao 3 ya mwazo yote hayahesabiki, la kwanza yule alirudisha mpira kwa mfungaji alikuwa off side, la pili pia ,la tatu halikuwa corner..makosa ya linesman na mwamuzi. Goli la nne halali kabisa. S A walicheza kama wanacheza fainali, pace ya ajabu, kukaba kama wanamkaba kibaka, Arsenal wao walikuwa goigoi na wanajifunza kutembea kama mutoto ya mwaka na miezi 2.

Nimependa S A walipoona wanayo nafasi ya kufunga hata mabao 6 wanajituma kufunga. Arsenal wakifunga mabao 2 wanacheza mpira kulinda kuongoza na likirudishwa moja, unaona wanacheza sarakasi.

Mshindi wa leo ni Man City amerudisha matumaini ya kunyakua ubingwa.

Hii ni EPL.
 
Kwa Arsenal hii ni lazima kuwaombea njaa maadui hasa Mancity, kwa miguu yetu pekee sisi The Gunners ni ngumu sana, hamna fighting spirit. LAZIMA TUAEME UKWELI, unafiki sio mzuri!
Nawe naona europa nayo inataka kukukimbia!

Hapana learn to accept defeats

Pale st Marys hatushindagi....last game kushinda ilikuwa 2003-2004 season (unbeaten season) tena kwa 1-0

the best you can hope ni sare....kipigo kimekuwa kikubwa sana ila same will happen at BRITANIA kwa stoke city kama hatutakuwa na POWERFULL DM kwenye usajili wa january

Soton wame deserve kushinda MBINU ZAO leo zimezaa matunda, na hasa walipopata goli la mapema vipindi vyote pale ilikuwa HAKUNA KURUDI mchezoni
 
Hii zawadi ya leo yaumiza sana Wachezaji wanacheza wakiwa hawana morali

Mentally
Physically doh kama tunacheza na barca vile

Mabeki wa katikati hovyo kabisa.

Ramsey sion umuhimu wake

Walcot hana akili ya mpira

Arsene wenger tactically si mzuri hana mbinu mpya

Wataalamu saikolojia still wanakazi ngumu kweli saints wametupiga.

Capten wetu ni hovyo kabisa mpaka akae benchi ndo akili zinakuja.

Kweli arsenal ni ya kupigwa 4 na saints mtu wa 12 huko anapigania kubakia kwenye ligi

Its shame for us
 
Mwaka wetu huu lazima tuchukue EPL,uwanja tumejenga hatuna deni lolote,kwanini Tusiwe wabingwa........ #COYG

Huyu ndo Wenger ninayemfahamu mimi furaha kidogo machozi sana........

Mshambuliaji wa mazingira magumu yupo wapi??

Wako wapi wakabaji wenye akili

Wako wapi mabeki wa kati??
 
Pia Mertesacker na Boss wanaonekana wamechoka sana. Kama kungekuwa na mabeki wa maana wa ziada hawa wawili wangepumzishwa kidogo.

Leo weakness ya Arsenal imeonekana kwa hawa wawili na Flamini.
 
Leo Arsenal walitaka kuongoza ligi. kwa kuteleza teleza kwa mabeki hovyo sio mlo wa X-mas kweli?

Yale mabao 3 ya mwazo yote hayahesabiki, la kwanza yule alirudisha mpira kwa mfungaji alikuwa off side, la pili pia ,la tatu halikuwa corner..makosa ya linesman na mwamuzi. Goli la nne halali kabisa. S A walicheza kama wanacheza fainali, pace ya ajabu, kukaba kama wanamkaba kibaka, Arsenal wao walikuwa goigoi na wanajifunza kutembea kama mutoto ya mwaka na miezi 2.

Nimependa S A walipoona wanayo nafasi ya kufunga hata mabao 6 wanajituma kufunga. Arsenal wakifunga mabao 2 wanacheza mpira kulinda kuongoza na likirudishwa moja, unaona wanacheza sarakasi.

Mshindi wa leo ni Man City amerudisha matumaini ya kunyakua ubingwa.

Hii ni EPL.
everlenk njoo muone hii Nonda inaleta uchambuzi yake na huku kwa gunners. Hii ni mutu ya hatai sn..... Kule kwetu naondoka na chadomo......
Khe khe khe khe ngoya ile Wacha1 ije....
 
Last edited by a moderator:
mkuu nakuunga mkono asilimia 90%....ukiangaangalia arsenal wachezaj weny hadhi ya kuichezea team ni ozil na sanchez

Mmm nina walakini na kuutazama mpira au kipigo kimekuchanganya mbaya

vipi kuhusu Nacho? ambae so far ni best left back pale EPL, Bellerin? unazungumziaje Peter Cech

Unasema nin kuhusu Kos? Santi? Coqeulin

Isiwe kikitokea kipigo tu mnadharau timu yenu yoote so far point 36 wamepata hawa hawa wachezaji..unaowatukana na kuwabeza

walioshusha wachezaji wa bei mbaya kama Manure wako wapi?an city ana Defeats 5 so far kwenye EPL

kubali tu ligi ni ngumu hii ni imekuwa haitabiriki kbs
 
Pia Mertesacker na Boss wanaonekana wamechoka sana. Kama kungekuwa na mabeki wa maana wa ziada hawa wawili wangepumzishwa kidogo.

Leo weakness ya Arsenal imeonekana kwa hawa wawili na Flamini.

Kwa kifupi kiungo imepotea....

na combative football na aggressivenes ya Soton imewashindisha game...

ila jumatatu wana winnable game na Bornamouth pale Emirates
 
Weakness ya Arsenal ipo kwenye Defensive Midfield na huo ndio ukweli halisi.

Aesene Wenger atoe pesa mwezi ujao amsajili Victor Wanyama ambae leo amemwonyesha kwamba yeye hio kazi anaiweza.

Wenger asiogope kulipa hio milioni 20 wanayoitaka Southampton stoe tu.

Mathieu Flamini leo kapatikana pale katikati na akawa exposed na Shane Long na Saido Mane.
Mi nadhani Sanchez, Cech, Ozil, Coq, Monreal, Bellerin ndo wachezaji pekee wenye kuweza kuifikisha timu inapotakiwa!
Beki ya kati Per ni mzigo, na ninashangaa kimo chake na mwili wake ktk tackles za 50-50 na Mane anashindwa.
 
Mmm nina walakini na kuutazama mpira au kipigo kimekuchanganya mbaya

vipi kuhusu Nacho? ambae so far ni best left back pale EPL, Bellerin? unazungumziaje Peter Cech

Unasema nin kuhusu Kos? Santi? Coqeulin

Isiwe kikitokea kipigo tu mnadharau timu yenu yoote so far point 36 wamepata hawa hawa wachezaji..unaowatukana na kuwabeza

walioshusha wachezaji wa bei mbaya kama Manure wako wapi?an city ana Defeats 5 so far kwenye EPL

kubali tu ligi ni ngumu hii ni imekuwa haitabiriki kbs
Sio kuwabeza, ila ukweli lazima usemwe! Weak link leo ni mabeki wa kati Na Flamini wamechangia goli tatu za kizembe, na hasa Per! Sio kubeza, ni kusema ukweli! Point 36 tunazo na tuko juu ila sababu mojawapo ni kwamba timu kubwa kama chelsea na mancity hazifanyi vizuri mpaka sasa, kwao si kawaida ndo maana kwa siso tuko juu!
Tuendelee kuomba wasifanye vizuri ili tuchukue ndoo, ila msimu ujao bahati haitakuka upande wetu maana chelsea watarudi!
Nina hofu pia na Tottenham, wanakimbiza mwizi kimya kimya na hatujaenda kwao!
 
Kwa kifupi kiungo imepotea....

na combative football na aggressivenes ya Soton imewashindisha game...

ila jumatatu wana winnable game na Bornamouth pale Emirates

Ila Bournemouth sio wa kuwabeza si uliona Chelsea walifungwa kwao?
 
Siku hazifanani gunners kama mtakumbuka line up ya leo haikuwa na mabadiriko na ile ya last week against man city and the lads were good sasa kipigo cha leo kisifanye kuwa arsenal is nothing leo ni kwamba kila kosa lililofanywa na players wetu soton walilitumia vema and for me game ya leo as far as lads were played we deserve such punishment
 
Kwa kifupi kiungo imepotea....

na combative football na aggressivenes ya Soton imewashindisha game...

ila jumatatu wana winnable game na Bornamouth pale Emirates
Hii mechi itakuwa ngumu sana maana wenger atatakiwa kufanya rotation, katimu kagumu sana kale ukizingatia kikosi chetu kwa sasa ni chembamba mno! Hivyo chochote chaweza tokea!
 
Back
Top Bottom