Si mbaya sana bado tuna nafasi kubwa tu ya kuchukua ubingwa.
Wa mdomo yes.
Si mbaya sana bado tuna nafasi kubwa tu ya kuchukua ubingwa.
Why do Arsenal Fc always screw up and never show up when required to show up??
Kuna wachezaji haijalishi ni squad players au la, ila Per, Campbell, Flamini, Chambalain, Walcott, OG will NEVER make to championship winning team, wako europa mayerials sana!
Huu ni ukweli, Arsenal tutabisha ila ndo ukweli!
Kushinda EPL ni kuomba Mancity wafungwe!
Uwiii bora wale wa mchana..lakini tusisahau hawa ndio wanaenda kukutana na Messi, Suarez na Neimar
Tusipoongoza ligi leo! Ubingwa kwaheri!
Uwiii bora wale wa mchana..lakini tusisahau hawa ndio wanaenda kukutana na Messi, Suarez na Neimar
Vipi wamekukula au umewakula.....
Mhhhhhhh kilio cha huku si cha kitoto kuna haja ya kuazima maturubai kule man hester kwa muda tutayarejesha jumatatu usiku!!!