Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dakika inakwenda ya 13 Southampton 0- Arsenal 0

Arsenal wanacheza mchezo wao wa kawaida wa kuachia timu pinzani kutawala mchezo.
 
Ramseeeeey kipa anatoa kona

Walcott anapiga kona inaokolewa.

Arsenal wameanza kupress mashambulizi.

Victor Wanyama ndie anakuwa kinara pale katikati.

Dakika inakwenda ya 16 goli ni 0-0
 
Ozil anapika mashambuliz ya Arsenal

Monreaaaaaal on no, Kipa kadaka shambulizi lingine on target.
 
Cuco Martina amefunga goli safi la kushtukiza na kumwacha Petr Cech akiwa hana la kufanya.

Ilikuwa ni baada ya Arsenal kuokoa mpira wa cross ulopigwa kuelekea langoni mwao.

Hivyo mpira ukamkuta Martina ambae kutoka umbali wa mita 30 akaachia shuti hilo.

Southampton wana wachezaji watatu wa kuwaangalia Victor Wanyama, Sadio Mane na Cuco Martina.

Dakika inakwenda ya 20
 
tatizo la wachezaj wetu wa
arsenal wanacheza tu ilimradi tu bas, hawajui wanacheza kutafuta nn
 
tatizo la wachezaj wetu wa
arsenal wanacheza tu ilimradi tu bas, hawajui wanacheza kutafuta nn

Wanacheza mchezo wa kujihami ugenini lakini Southampton ni wazuri zaidi na wanawatumia hao wachezaji nilowataja hapo juu.

Goli litarudi ila Arsenal lazima wabadili mchezo wao.

Dakika inakwenda ya 30

Southampron 1 Arsenal 0
 
Dakika zimebaki 6 mchezo uende mapumziko na Southampton wanacheza kwa bidii kwelikweli.

Walcooott oh no anapiga nje ya wavu.
 
Southampton wancheza mtindo wa 4-4-1-1

Shane Long na Saido Mane wa Southampton ndio wanasumbua kule mbele.

Karibi mapumziko sasa.
 
Mpira ni mapumziko

Arsenal wameshindwa kufungua ngome ya Southampton.

Arsene Wenger anatarajiwa kubadilisha mbinu.
 
Arsenal wanapata taabu kuwashuhgulikia hawa Southampton.

Gooooooooool no kibendera kimepandishwa

Southampton walikuwa waongoze kwa goli mbili, lakini limekataliwa.
 
Back
Top Bottom