Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
uzuri wa eboue ana nguvu na an hold mpira mpira vizuri sema final decision mbovu.
mashuti ya mbali ni uamuzi tu wamchezaji mkuu,hawa wachezaji wetu ni wazembe wanaogopa kujaribu au ni Wenger kawakataza.nakumbuka Arshavin alivyokuja alikuwa mtu wa kujaribu sana vishuti vya mbali lakini siku hizi naona damu yake yote ishakuwa arsenal 100% kaenda kuwa kama alio wakuta.Half time sasa bado mabao ni 1-1..Tatizo Arsenala hatuna mshambuliaji mwenye nguvu anayeweza kujaribu kufunga hata kwa mbali,badala yake waliopo wanataka wasogee hadi karibu na goli ndio wafunge...Fabregas peke yake ndo anajaribu mara nyingi kufunga akiwa mbali mara anapopata nafasi..Huyu dogo Ramsey naona anarembaremba tu humu
Nammiss sana Van Persie,namuombea apone haraka mshambuliaji wetu wa ukweli huyu
mkuu vipi? hili rafu mbaya sana na unaona hatuoneshwi wala replay yoyote au umesahau yaliotokea siku ya eduardo?Red card aghhhhhh mpira gani huu sasa stupid.
mkuu vipi? hili rafu mbaya sana na unaona hatuoneshwi wala replay yoyote au umesahau yaliotokea siku ya eduardo?
broken leg mkuu..inaelekea ni injury mbaya sana, huzuni katika nyuso za wachezaji wote zinasema kitu! let's keep our fingers crossed!!
ni mbaya mno mkuu.Poor Ramsey......hata hiyo faulo sijaiona ila luks like ilkuwa mbaya sanaaa!