Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Point 3 hazipatikan kizembe mjue.
Hapo ni sare hadi mwisho au mfungwe
 
Bring on Walcott, angalau kwa spidi yake atakuwa anayaona mapande ya Mesut na kuyawahi, Giroud ktk movement yuko dull sana!
 
Dah!
Ila hii ligi, humcheki mwenzio msiba unaweza kukujia mida wowote.
Safari hii nina gut feeling, tunaweza beba ndoo ya EPL, tukitoka vizuri december, na nina matumaini hayo!
 
Point 3 hazipatikan kizembe mjue.
Hapo ni sare hadi mwisho au mfungwe


Hata wewe? Haya tujuze ya Old Trashford kwanza khe khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Nachikia kilio cha Manchester leo kila kona hakuna cha Mancs wala Manure khe khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee na kale ka-@Mungiki Brother ooops Mentor i n g I d i o t s huwa kanakimbia Chelsick leo kelele kwishnei
 
Last edited by a moderator:
kwa jinsi ligi msimu huu ilivyo, Asenali walipaswa kuwa kileleni kwa takribani tofauti ya points 6. tatizo lilopo Ni kwa kocha kutokuwa na ile spirit ya kukomandi timu. angalia game zote walizodondosha points, Ni game ambazo walipaswa kupata matokeo ila kwa vile kocha hana ile amsha amsha ya kuwapump wachezaji, basi timu inacheza kinyonge na kujikuta ikishindwa kupata matokeo. ila kama wakijitahidi kidogo kwa kuongeza umakini, msimu huu kwapa zinaweza kunyanyulika na hatimaye lile Vumbi lilijaa kabatini sehemu yanapokaa makombe ya EPL likafutika!
 

2F1512B700000578-0-image-a-48_1449330101150.jpg


Campbell anaweka chuma wavuni kuandika bao la kwanza .... . .

2F151C0900000578-0-image-a-56_1449330544378.jpg


2F153A9400000578-3347389-image-a-64_1449332034650.jpg


OG anafunga goli la kusawazisha kwa wapinzani ....

2F153AC500000578-3347389-image-a-67_1449332134961.jpg


Cech haamini macho yake ... ....

2F15908D00000578-3347389-image-a-75_1449332844366.jpg


OG anaweka chuma cha pili kwa Gunners .... .

2F1668A000000578-3347389-image-m-89_1449334568241.jpg


2F14E25F00000578-0-image-a-39_1449328946809.jpg


Rambo alikuwepo kufunga biashara .... ..

2F151FD000000578-0-image-a-54_1449330473993.jpg


Ozil kama kawa akiendelea kutoa assist ... ..

2F15051800000578-3347389-image-a-76_1449333615681.jpg


Prof kama kawa kwenye touchline .... ....
 
Back
Top Bottom