Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Aiseee poleni humu ndani maana kupigwa mkono mzima ni hatari
 
Leo ni tarehe 5, tunaapisha rais wa 5 na Arsenal kapigwa 5...........khe khe khe khe khe khe khe khe khe.......
Khe khe khe eeeee Namba 5 bado inatawala siasa za Tanzania Rais wa 5 mwaka 2015 Miaka 55 baada ya Uhuru Uchaguz wa vyama vingi wa 5 na pia anaapshwa tareh 5, na arsenal anakula 👊🏽
 


Bayern walipata rahaa ............. kavu kavu hiyo.
 

Attachments

  • Arse888 5bila.jpg
    32.1 KB · Views: 268
The Mandaz
Wapokeeni watu wenu
 

Attachments

  • 1446732162423.jpg
    36.3 KB · Views: 144
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee msijali sisi na Munchen points draw wametuzidi magoli mawili tu kutokana na majeruhi tuliyokuwa nayo. All in all vijana walijitahidi sana na waswahili wanaema mcheza kwao hutuzwa. Bring them on.
 
:sly::sly:πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 

Attachments

  • 1446744364337.jpg
    8.6 KB · Views: 108

Pamoja bro....next game ni against Spurs bila shaka pale Emirates tupo nyumbani tutawavuruga sana...hawa jamaa hawatusumbui kiivyo, it will be a nice Derby...lets wait this weekend is coming soon
 

Hapa ndipo ninapokukubali Ngoja nami nicheke kihuzuni kidogo kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…