Good for us kwa kupunguziwa competition ambazo sio size yetu now its time to focus kwa makombe ya maana
83min Wachezaji waliocheza leo walifikiri waki show up tu watashinda walitakiwa kucheza mpira. Huyu Bielik nafikiri kidogo amejitahidi alipoingia OG hakupata hata mpira moja pale mbele. Anyway ngoja tupunguze mechi za kucheza na hiki kikombe cha mbuzi. prof ndio huwa anawajaribu wachezaji kwenye hiki kikombe ambacho hajashinda. Good for the Gunners ... ... .
Nackia HAWAJASAIN matokeo ya jana 3:0I et yalikuwa na udanganuifu.....
Eeeeeehhhhhhh leo hii hayoooooo......poleni matop of the league na mabingwa wa FA.
Nackia HAWAJASAIN matokeo ya jana 3:0I et yalikuwa na udanganuifu.....
Kwi kwi kwi
MFA maji.............
khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee 3-0
Teeeeehe teeeeeeehe
majeruhi yanaanza kuongezeka.. Ramsey, walcott na ox inasemekana watarudi baada ya international break. Kwa hiyo watakosa at least mechi tatu muhimu (vs swansea, vs bayern na vs spurs). Naomba iwe hivyo sababu najua majeruhi arsenal wiki 3 ni mwezi 1 kama sio 2. Naomba warudi mapema na tusipoteze mechi yoyote.
Kalale mjombakwani hata wakiwepo wote watachukua ubindwa? Arsenal ndo timu inayoleta matani kwenye ligi kama chama cha tlp hapa tanzania
Sijajua kwa nini Prof hamtumii sana uncle Thom (Thomas Rosick) nadhani hana majeruhi