Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Theo nae nje ..... .... kaumia .... . 25min 0-0 wanapiga viatu vya kirejareja


Inasemekana Theo kapata calf problem hii imechangiwa na kutokupata muda wa kufanya warm up kwani kwa pace yake warm up ni muhimu, ila najiuliza anaweza kukaa nje kwa muda gani??


Matokeo leo sio mazuri ila matumaini stock city wanafanya kweli leo
 
Theo nae nje ..... .... kaumia .... . 25min 0-0 wanapiga viatu vya kirejareja


Inasemekana Theo kapata calf problem hii imechangiwa na kutokupata muda wa kufanya warm up kwani kwa pace yake warm up ni muhimu, ila najiuliza anaweza kukaa nje kwa muda gani??


Matokeo leo sio mazuri ila natumaini stock city wanafanya kweli leo wamlize tena mou
 
Sasa wachezaji wetu karibia wote walio majeruhi ni Wabritish Ramsey,Walcott, Ox, Welbeck, Wilshere bado Gibbs kuwafuata plus Rosicky, Ospina, Arteta. Kuna kitu kimepungua ndani ya hawa wabritish hasa wa Arsenal si bure.
 
76min Prof made 13 changes to the team which beat Everton, it has been a difficult place for Gunners since Prof took the helm ... ... ... .3 down
 
83min Wachezaji waliocheza leo walifikiri waki show up tu watashinda walitakiwa kucheza mpira. Huyu Bielik nafikiri kidogo amejitahidi alipoingia OG hakupata hata mpira moja pale mbele. Anyway ngoja tupunguze mechi za kucheza na hiki kikombe cha mbuzi. prof ndio huwa anawajaribu wachezaji kwenye hiki kikombe ambacho hajashinda. Good for the Gunners ... ... .
 
Kos, Monreal, Bellerin, Sanchez na Ozil wasipocheza mambo yanakuwa hivi... Afadhali tupunguze mechi
 
Ha haaaa tatu bilaaaaa hamna ujanja tena...kwisha habari yao
 
Teeeeehe teeeeeeehe
 

Attachments

  • 1445983865925.jpg
    1445983865925.jpg
    31.1 KB · Views: 44
Good for us kwa kupunguziwa competition ambazo sio size yetu now its time to focus kwa makombe ya maana
 
Well Arsenal aren't having a very good
Tuesday against Wednesday are they? At
this rate Wenger will be lucky to be in a
job on Thursday!
 
Back
Top Bottom