Giroud sio striker ni mganga njaa tu kama angekuwa striker mzuri leo angepiga hat trickEverton wanaweza kuondoka na draw hapa. Arsenal tunamiss something. Come on Arsenal!!!!! ushindi muhimu leo
Natamani Arsenal wachukue kombe maana Morinho wetu amewatukana sana
Nitakuwa mchoyo nisipowapongeza kwa ushindi wa leo na hatimaye mmekuwa top of the table......Hongereni sana rubaman Wacha1 Eli79 Cardinal06 #AllAFCFans
Thanks. Kessho nitakupa pole baada ya City kuwagonga.... Cha muhimu mlio home kesho pigeni kura na mlinde kura zenu zisiibiwe msiangalie mpira. Mustakabali wa nchi yetu ni muhimu kuliko soka la dakika 90.
Wakuu habari, chama limetulia amakweli nimeamini Wenger no genius, sasa kilichobaki dirisha do go aimarishe kwa kutuchukulia defensive midfielder na Amazing Striker. ubingwa ligi kuu uleeeeeeee🙌🙌🙌🙌👏
arsenal Kama ukawa ni mwendo wa dozi tu
Natunza hizi...tena wewe ndiyo uwa unapotea kabisa humu...ngoja tusubiri...kabla ya #WengerOut hazijaanza tena...
Nzi umekariri sana asee, huu ni mwaka wa mabadiliko mkuu....ukitegemea kuja kushindana na sisi mwishoni mwa ligi ukidhani tutakuwa tumechoka utasubiri sana safari hii; iandike hii "mwaka huu arsenal ndo bingwa kwa mwendo huu huu mwanzo mwisho"