Don't worry Arsenal Fans. Your next UCL match will be just against Bayern.
Bayern ndio mnawaogopa? Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nicheke mie. Tutacheza bila presha na tutawapiga hiyo tarehe 20 njoo uangalie kitale.
Punguza mbwembwe jomba hats Man utd enzi za babu Fergie tuliwahi kutolewa group stage itakua nyie ? Bayern IPI ya kuifunga bila presha ? MNA defence ya kumzuia Lewandowski dabodabo ?
Sometime ongeeni hali halisi co ushabiki
Bayern hao
Kabisa, hii ni jiwe moja wahanga wengi. Walikuwa wanatuombea mabaya sana, sasa msimu huu tunabeba na ndoo ya EPL ili watuelewe vizuri.leo furaha sana nimezifunga
Man u
chelsea
liverpool
na bayern
teh teh teh
Nakuunga mkono kabisa, ilibidi tuwe hivyo, inajulikana wazi kabisa nasi tunapendaga kukaa na mpira, ila mazingira ya jana yalitufanya tuwe bize kuziba mianya na kuwaacha wachezee mpira kama hawakuwa na madhara.It was a strategic game for arsenal brah. Tungefunguka ingekula kwetu, we had to contain them and wait for counter attacks and it worked marvellous for us..
leo Arse888 wasipopigwa nane kama walivyozoea sijui ............. Arse888 wakishinda leo, naahidi kwenda kufanya vurugu sentro.
Tukikomaa nao angalau droo pale Allienza Arena tutakuwa na nafasi.