Hatunywi maji leo.....................
Arsenal hongereni ila kuna msemo unasema;
"Ukiona mgonjwa kapata nafuu ujue anakaribia kufa"
hahahaaaaa...nakaribisha firstlady wetu, nafasi yako inabaki palepale...Nipo nakuangalia tu ,sasa ole wako!!!!!.........
hahahaaaaa...nakaribisha firstlady wetu, nafasi yako inabaki palepale...
Hahahaaa..hakuna fursa hapo, nshajizeekea nipo nawe hata sitaki zaidi..Hahaha usinidanganye nakujua sana mzee wa kamatia fursa twe'nzetu!!!....
unaona mambo yetu mama wa man u?. Mwaka wetu huu..