Ni kawaida kuiona team yangu ikishinda mechi isiyotarajiwa kushinda tena kirahiiiiiisi kabisa, So leo tunawapiga buy2-0
umeshatimiza uliyo ya ahidimkuu?
Arsenal imeshashinda tunasubiria magazeti ya kesho kuripoti fujo ulioifanya, walivyo na usongo kwa kile kilichotokea sitaki Shari watakutafuna mbichi
Msijitambe saana Bayern hawakutaka kuwafunga tu! wamecheza kama hawataki!' gemu limeuzwa lile!' kwanza Goli lenyewe la giroud kafunga goli la Nape Nauye" halafu nijikute tu" nimeenda kuoteshwa manundu .............