Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Ivi amesajili namba yake TiGo pesa uyu mtu nina mchango wangu ili kumaliza deni letu analotudai alafu hii timu ni mama ake au mbona anakomaa sana,shikamoo Sanchez hata kama nimekuzidi umri.
 
NAONA MAGOL MA 5 YA MARTIAL.. 2 YA MATA... 1 LA DEPAY.. NA KWA MARA YA KWANZA BARSTIAN S.. ANATUPIA MBILI LEO... SASA JUMLISHA IDAD HAPO UTAJUA LEO MKUBWA NI MKUBWA TU... emirates ni shamba la bibi kila m2 anakuja kuchuma matunda hapo...


Unaweza kuyarudia haya?
 
Hahahahahaahahaahahahahahaahahahahahahahahaahahahahhahahahahahaahahahahahahahahahahaahahahahahahahahahaahahahahahahahahaahahahahahahaahahahahahaahahahahahahahahahaahahahahahaahahahahahahahahahaahahahahahahahahahahhahaahahahhaahahaha wacheni nifurahi tu. Nyie cute b na everlenk nipongezeni sasa.
 
Last edited by a moderator:

Hongeraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:





There is only one Le prof na leo kanyamazisha media
uchwara ya England .... Ding ... Dong
 
........😂😂😂.......
 

Attachments

  • 1444085943698.jpg
    29.9 KB · Views: 184
Nimekutana na jamaa mnazi wa man u kufuru aisee alikua ananisumbua mnoo yani kawa mpoleee vibayaaaa 😂😂😂😂😂😂😂 yani kawa mpole af mi najifanya kama hakijatokea kitu
 
​[video]http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3264614/Manchester-United-fan-Usain-Bolt-loses-bet-wear-Arsenal-shirt-forfeit.html#v-4541810941001[/video]

Watatusoma tu mwaka huu ... ..... Ding ... Dong.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…