Wacha1, its timefor M4C ndani ya Mizinga!
Khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe...eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Rev. absolutely, naona mmejichimbia kaburi, Moureeen ati anasema man of the match ni huyo mfanya fujo ajabu kweli kweli. tunawasubiri Emirates .... .... ..... inanikumbusha Piza gate ya OT.
"kama mlikuwa mnautafuta ushindi NDANI ya mzee bahili wenger na HAMJAUPATA kautafuteni ushindi NJE ya arsene wenger!"
Arsenal sio mama wala baba yenu.....
HAMENI ARSENAL.....
Sisi tunashabikia arsenal sio kumfunga mourinho au chelsea,tunaipenda arsenal the way inavocheza, kama tungekuwa tunatafuta timu zinazomfunga mourinho basi tungekuwa tunashabikia everton au crystal palace,na huu ushindi wa kubebwa ulioupata leo usifikiri ndio umeanza ligi msubili man united wiki ijayo afanye kaz yake lazma urud nafasi ya kumi na saba!!
Oooooh poleeeeee...kama ulidhani Mou na Chelsea ni wa kufungwa na Man utd think again...!
#tuombeUzima
Ze bluzz ishacheza na hii sumbua big teams?WEST HAM RECORD THIS SEASON
EMIRATES arsenal 0-2 west ham
ANFIELD liverpool 0-3 west ham
ETIHAD man city 1-2 west ham
😂😂😂
Kweli Arsenal wanacheza kandanda mwanana na zipo timu zinacheza mieleka na rugby. Wachezaji wa Arsenal wanacheza kistaarabu, hawapendi kupigana vikumbo na mieleka, hawapendi kuanzisha tifu, wamezoeleka hivyo hata kwa waamuzi. Pia hawalalamikii maamuzi ya mwamuzi hata pale wanapohisi wanaonewa. Hii inapelekea kuadhibiwa kirahisi wanapoacha "philosophy" yao.Sisi tunashabikia arsenal sio kumfunga mourinho au chelsea,tunaipenda arsenal the way inavocheza, kama tungekuwa tunatafuta timu zinazomfunga mourinho basi tungekuwa tunashabikia everton au crystal palace,na huu ushindi wa kubebwa ulioupata leo usifikiri ndio umeanza ligi msubili man united wiki ijayo afanye kaz yake lazma urud nafasi ya kumi na saba!!
Sisi tunashabikia arsenal sio kumfunga mourinho au chelsea,tunaipenda arsenal the way inavocheza, kama tungekuwa tunatafuta timu zinazomfunga mourinho basi tungekuwa tunashabikia everton au crystal palace,na huu ushindi wa kubebwa ulioupata leo usifikiri ndio umeanza ligi msubili man united wiki ijayo afanye kaz yake lazma urud nafasi ya kumi na saba!!
Many people were annoyed that Gabriel Paulista was sent off and Diego Costa wasn't during Chelsea vs Arsenal.
But one man lost his head more than the rest.And that man was BBC pundit Garth Crooks.Garth is clearly either a closet Arsenal fan or had a lot of money riding on the game because his reaction to Mike Dean's refereeing performance was sensational.Talking on Final Score, Crooks completely went for the Premier League ref during an angry tirade.