Hakuna mahali refa alishauriana na linesman. Sikuona popote wakishauriana...
Mkuu angalia marudio utaona Refa akishauriana na linesman kwa kifaa chao cha mawasiliano kilichopo masikioni na alipopata confirmation ndio akatoa kadi.
Hakuna mahali refa alishauriana na linesman. Sikuona popote wakishauriana...
Marefa na malinesmen wanavaa wireless microphones zinazowaruhusu kuwasiliana
@ngarma Tv yake ilimuonesha kuwa kuna mahali refaree alishauriana na assistant wake!
Naona una hasira za kubamizwa.Baada ya Costa kulalamika ndio Refa Dean kwa kutumia chombo alichonacho sikioni na ndio njia yao ya mawasiliano akatoa red card.Kwenye interview Wenger amezungumzia kwamba Rafael was wrong to reteliate. Wewe mshabiki maandazi unabisha.Kuhusu Carzola alikuwa na yellow kuji commit kwenye tackle ambayo ni fifty fifty ni upumbavu.Na ndio maana akapewa yellow ya pili. Farbegas alijifanya ameumia baada ya tackle ili kum influence Refa na ndio ujanja wa kimchezo. Game imekwisha move on wacheni kulalama. Ila ni kweli Costa alistahili red lakini wachezaji wa Arsenal ni very naive katika kulalamikia maamuzi ya Refa na marefa wengi wana wa take for granted kwamba hawalalamiki hivyo hakuna pressure ya kuwapa advantage kwenye maamuzi ambayo ni magumu kutolewa na Refa.Mfano ni mechi na Liverpool goli la Ramsey lilikuwa goli halali. Refa kakataa.Wachezaji wa Arsenal wakaendelea as if ni kawaida tu.Ingekuwa timu lalamishi pangechimbika. Football ni mbinu na mara nyingine ustaarabu haukupi advantage.
Tabu ya kuangalia mpira kwenye vibanda umiza. Marefa na ma
linesmen wana wireless microphones zinazowafanya wawasiliane bila Refa kumfuata linesman kama mlivyotaka nyie.
..olryt; kumbe kinachowasaidia siku hizi ni kule kujiangusha angusha na kumlilia refa, mbinu chafu za kimchezo ila ndizo mnafundishwa na moureen,that'z fyn, though too low.!
may be mtaendelea kulia lia mpk muwe mabingwa msimu huu..
Sawa umeshinda mkuu, ila mimi nikiangalia mechi kibanda umiza na wewe ukiangalia nyumbani huku kibanda umiza hawaonyeshi replays au?? Point yako ni nini hapo.
Wenger ni AIBU yetu wana Arsenal.
Mkuu mimi sio Chelsea na nawachukia ile mbaya lakini nawaheshimu kwa mbinu za kutafuta ushindi. The end result justifies the means. Usipandwe na HP bure it is just a game. Move on.
..baada ya red card ya kwanza nilishajiandaa kwa yote, nikajua nxt 45 minutes zitakua chungu,na ndivyo ilivyokua,no surprise at all.!
refa ameua gemu
Mbona unalialia...??!