stable-negro
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 509
- 347
when will our coach stop counting chickens b4 hatching....2mepumzisha wachezaj na bado 2megongwa kote; *** it...'!!
Ushindi batili. Hadi hasira
Ndo hivyo mamaaa Depay so forget about kigodoro sawa eh
Acha hizo wewe! kabla hujafika hapo rudi kwa alichofanya costa kwa Laurent, refa ndo kaharibu sio sisi! alafu unaposema aliahauriana na mshika kibendera saa ngapi? mechi tumeona live, hakukuwa na mashauriano yoyote! Alishawishiwa na huyo costa!
Mechi imeharibiwa na upumbavu wa wachezaji wa Arsenal Gabriel kakubali kupandishwa hasira na kumpiga teke la nyuma Costa. Refa Dean hakuona lakini alishauriana na mshika kibendera. Kadi ya Carzola ipo wazi hakuna cha kulalamika. Alikuwa na kadi ya njano. Aka tackle late akapewa kadi nyingine njano which equals red.Kuwa naive ndio kumei cost Arsenal leo. Mpira ni mchezo wa mbinu ukiingia kichwa kichwa unaumia.
Costa alipewa kadi ya njano. Gabriel aliendeleza upumbavu na kukubali kupandishwa hasira. Angalia marudio utaona Dean alishauriana na mshika kibendera. Ushabiki usitufanye tusiseme ukweli. Uongo na kutafuta visingizio havibadili matokeo na ukweli.
Costa alipewa kadi ya njano. Gabriel aliendeleza upumbavu na kukubali kupandishwa hasira. Angalia marudio utaona Dean alishauriana na mshika kibendera. Ushabiki usitufanye tusiseme ukweli. Uongo na kutafuta visingizio havibadili matokeo na ukweli.
Okei, basi tumeangalia mechi tofauti. Niliyoona mimi refa hajashauriana na mshika kibendera, ni alishawishiwa na reaction ya costa, na pia kuhusu gabriel kupandishwa hasira, baada ya wao wawili (costa na gabriel) kupewa kadi za njano, gabriel alikuwa anaondoka ila costa aliendele kumfuata mpaka hilo tukio ambalo lilikuwa soft kabisa!
Mimi ni Arsenal damu, ila nimeweka ushabiki pembeni, ktk Tv niliyoangalia ndo ilikuwa hivyo! Nawe na Tv yako ilikuwa na version nyingine ya tukio hilo hilo, hivyo POA!
..hivi ww unatumia tv ya aina gani? costa alipewa yellow kwa kosa alilofanya kwa gabriel, but yale makofi aliyompiga koscielny hakupewa punishment yoyote.! thn unasema tuache ushabiki km sio ww unaeleta ushabiki hapa ni nani? na wale wawili walikua wote wanabishana km uliona kwa tv yako ya mbao,costa ndie alimwambia refa kafanyiwa foul thn refa akatoa kadi..huyo refa alishauriana na kibendera wapi wkt muda wote alikua amezungukwa na wachezaji wa chelshit kbl hajatoa kadi?!
Mike Dean's a fool, pathetic official. I can't imagine alimuachaje Diego Costa baada ya kufanya ujinga kwa Kosienly....
Hakuna mahali refa alishauriana na linesman. Sikuona popote wakishauriana...
Marefa na malinesmen wanavaa wireless microphones zinazowaruhusu kuwasilianaHakuna mahali refa alishauriana na linesman. Sikuona popote wakishauriana...