Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mike Dean amechangia red cards ngapi kati ya hizo zote???

attachment.php
 
Everlenk Wacha fujo bana tupo kwenye matanga hapa hadi kieleweke .... ..... .. Ding ... Dong.

acha kulialia mtoto wa kiume!' arse88 wanajulikana ni wake wa chelsea!' so usitafute wa kumlaumu!' nyie mlikua wakufungwa tu! na mimi nasema mfungwe tu' mana hamna namna nyingine ............. .
 
acha kulialia mtoto wa kiume!' arse88 wanajulikana ni wake wa chelsea!' so usitafute wa kumlaumu!' nyie mlikua wakufungwa tu! na mimi nasema mfungwe tu' mana hamna namna nyingine ............. .

Weweeee unatafutwa kwenu huku kwa watu, watu tumekuja na zawadi zetu tukutunze hatukohoi .......
 
Timu ya Arsenal (name ni gunner) haina nidhamu ya kutosha...Inapata sana red cards wakati yenyewe inacheza sexy football...ajabu sana.
 
Weweeee unatafutwa kwenu huku kwa watu, watu tumekuja na zawadi zetu tukutunze hatukohoi .......

sikuhizi napitiaga twisheni ndio mana,ila niwekeeni mtaniletea siku!' nikimpiga manyua kama mbwa mwizi. leo nipo hapa kwa vibonde wangu ............
 
2CA3930A00000578-3244760-image-a-132_1442929264456.jpg

Prof katulia anapanga mbinu za kesho ....

2CA3B0F300000578-0-The_Arsenal_first_team_including_Mesut_Ozil_right_and_Alex_Oxlad-a-104_1442928353117.jpg

Ox na Ozil .... ...

2CA3AD1E00000578-0-Arsenal_star_forward_Alexis_Sanchez_right_and_Joel_Campbell_who_-a-105_1442928392581.jpg

Alexis na Campbell

2CA3A8AD00000578-3244760-Alex_Iwobi_and_Glen_Kamara-a-129_1442929153382.jpg

Alex na Kamara ....

2CA3ACE500000578-0-_From_left_to_right_Calum_Chambers_former_player_Robert_Pires_an-a-109_1442928541272.jpg

2CA396C700000578-0-Former_Barcelona_star_Sanchez_takes_part_in_a_sprint_drill_on_Tu-a-107_1442928476039.jpg

Colney hapo .... ...

Gabriel has had his ban rescinded by the FA after his appeal was upheld and is available for selection tomorrow, while the violent character is in hot water ..... ..... . Kitaeleweka tu.

Petition hadi sasa 87,000 na ushee FA wanaanza kuwewesekaweweseka.

Ile haikua red card ya moja kwa moja. Alikua na njano kwanza then akapewa ya pili..... Sasa wanaifuta hiyo adhabu kwa vigezo gani? Wamechemka
 
Ile haikua red card ya moja kwa moja. Alikua na njano kwanza then akapewa ya pili..... Sasa wanaifuta hiyo adhabu kwa vigezo gani? Wamechemka

Na nyie kateni rufaa kuhusu ban ya mechi 3 maana mmeonewa sana teeeehe teeeehe
 
Wenger ametengana na mke wake. Babu inaelekea ni kiwembe fulani kama Giggs, Terry. Kuna mwaka nasikia alifumaniwa akimcheat mamsap wake.....
 
Wenger ametengana na mke wake. Babu inaelekea ni kiwembe fulani kama Giggs, Terry. Kuna mwaka nasikia alifumaniwa akimcheat mamsap wake.....

Hahahahah !!! rubaman bana embu nipe link nami nikajionee hayo maajabu ya Babu.
 
Last edited by a moderator:
Spurs 0-1 Arsenal
Flamin kamalizia mpira ulotemwa na kipa baada ya shuti zito lilopigwa na Ox
 
Back
Top Bottom