2 down .. ... against 9 players ...... ..... .... Mike Dean has done his job under an influence of brown envelopes.
Utalia sana mwaka huu hakuna namna mtapigwa sana tu
Ongea tu,lakini ukikaa peke yako moyoni ukweli unaujua na unaukubali kwamba ni full ubereko.Utalia sana mwaka huu hakuna namna mtapigwa sana tu
Sasa ni mpira gani Mike Dean alitaka uchezwe?
Acha hizo wewe! kabla hujafika hapo rudi kwa alichofanya costa kwa Laurent, refa ndo kaharibu sio sisi! alafu unaposema aliahauriana na mshika kibendera saa ngapi? mechi tumeona live, hakukuwa na mashauriano yoyote! Alishawishiwa na huyo costa!Mechi imeharibiwa na upumbavu wa wachezaji wa Arsenal Gabriel kakubali kuwa kupandishwa hasira na kumpiga teke la nyuma Costa. Refa Dean hakuona lakini alishauriana na mshika kibendera. Kadi ya Carzola ipo wazi hakuna cha kulalamika. Alikuwa na kadi ya njano. Aka tackle late akapewa kadi nyingine njano which equals red.Kuwa naive ndio kumei cost Arsenal leo. Mpira ni mchezo wa mbinu ukiingia kichwa kichwa unaumia.
alitaka tucheze tennis, no body contacts!
Referee kala mrungula wa maana aisee.
Ushindi batili. Hadi hasira