Half Time Analysis
Arsenal hawajacheza kabisa mpira.
Wachezaji wote wamecheza kipindi cha kwanza kama vile ndio kwanza wanakutana baada ya likizo ndefu.
Viungo wote Ozil, Arteta, Chamberlain, Cazorla wanapoteza miira katikati bila sababu za msingi hivyo kukaribisha mashambulizi ya kila wakati kutoka kwa vinana wa Zagreb.