stable-negro
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 509
- 347
duh,nafac ya 4 itatafutwa kwa tochi
tutamaliza chini ya spurz,westham,city,chelsea,swansea,villa nk✌
we na we inamana humjui meakmeal uyo ni rapa wa marekani katupia jezi tu..usiabishe ayo majina ya mangi mkuu
duh,nafac ya 4 itatafutwa kwa tochi
tutamaliza chini ya spurz,westham,city,chelsea,swansea,villa nk✌
Prof knows ana wachezaji wa kutosha, sasa hao wa ziada angewapeleka wapi? Yeye ndiye anapanga kikosi, ushindi sio wingi wa kununua wachezaji, na wala ndio kubeba mataji, Manure wametumia kiasi gani na wako wapi? Totts, Chelsick etc. Sasa ndio EPL itaanza rasmi, mtaona matokeo yake hiyo mizoga iliyonunuliwa haitatamba ....... ....... tulikuwa tunamuhitaji Cech tu. Ding ,,, Dong. COYG
Mlikuwa mnahitaji huyo tu ili kutwaa ubingwa. Sasa tulieni ili Mtaalamu, Prof. Wenger awachukue kwenye Roller coaster ya msimu huu. Funga mkanda!!!Mpaka sasa bado siamini kama tumemsajili Cech tu.
Endeleq kumwamini mpaka uzeeke,mimi nakuwa dr slaa wa soka,napumzikaMkuu mimi namwamini Wenger.
Huyu mzee ana akili sana na wapenzi wa hii timu sasa ndio wanaelewa.
Anakiaminia kikosi chake na inasemwa kwamba kikosi kilikuwa kwenye hibernation period baada ya summer intensive training lakini baada ya hii international break kikosi kinarudi kwa nia moja tu, "kamata Man City"
Tupo nyuma ya Man City kwa 5 points tu na sio Maurinho ambae amekataliwa na Everton kumsajili John Stones.
COYGs!!!!
Tujipe tu matumaini maana sioni kama tutaleta ushindani kwa kikosi hiki.Arsenal wamewasilisha kwenye makao makuu ya UEFA, orodha ya wachezaji 25 ambao watashiriki kwenye mashindano ya kombe la klabu bingwa za Ulaya.
Orodha hio imepangwa katika sehemu mbili yaani A na B na Orodha A ina wachezaji 17 na orodha B ina wachezaji 7 ambao wana nyota ikimaanisha kwamba wao pia wachezaji walokuuzwa na Arsenal Academy yaani "Home Grown Players".
Meneja Arsene Wenger ameamua Joel Campbel abakie kwenye timu ili kuongeza idadi ya washambuliaji sita pamoja na wadogo wawili yaani Alex Iwobi na Chris Willock.
Pia Mathieu Flamini nae ameambiwa ataendelea kuchezea Gunners hadi mwisho wa mkataba wake.
Mechi ya kwanza ya Arsenal itakuwa ugenini mjini Zagreb kati yake na Dynamo Zagreb.
Ifuatayo hapo chini ni orodha kamili.
COYG!!!!
Hakuna timu ingine kwenye Epl iliyo vizuri kama timu ya Mr. Bean.Tusikate tamaa timu bado ipo vizuri!
COYG
Msimu huu mchezaji atakaetukomboa atakuwa Alex Oxlade Chamberlain.
Msimu huu mchezaji atakaetukomboa atakuwa Alex Oxlade Chamberlain.
Subiri atakapoumia,Kuna tatizo la majeruhi hapo Chambo, Ramsey, Welbeck, Walcott, Wilshere, Ozil hawa hawawezi cheza game 6 bila kuumia
Sio siri dogo yuko vizuri lakini tatizo lake pancha nyingi. Tuombe msimu huu awe fit kwa kipindi kirefu
raha sana ukiwa fans wa arsenal.....