Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hongereni Arsena wenzangu,ushindi safi kabisa huu...Pointi tatu saaaaaaaaaafi...Tunakuja kuwashika(Man Utd)

Na hawa wenzetu wana mechi ngumu zaidi kuliko sisi hivyo kuna uwezekano mkubwa wa kupoteza points nyingi katika ya sasa na May, 2010 ukilinganisha na sisi.
 
Hongereni Arsena wenzangu,ushindi safi kabisa huu...Pointi tatu saaaaaaaaaafi...Tunakuja kuwashika(Man Utd)
mkuu sijui ulijificha wapi naona hukutaka kabisa kubadilishana mawazo leo jukwaani lool.asante sana na hongera na wewe.enjoy siunajua misiba inahama hama lol.
 
i will take the penalty mkuuu si tumelipiwa hile ya rosicky juzi au? sio mbaya jamaa kamuingilia njia sio.

sawa mkuu, tunalipwa taratibu naona!! walau tunawakaribia ManUre, bado kumtafuta Chelski, na tusiafford kupoteza mechi. Timu inatakiwa ionyeshe njaa zaidi, sio kucheza na mpira maeneo muhimu bila kufunga!!
 
sawa mkuu, tunalipwa taratibu naona!! walau tunawakaribia ManUre, bado kumtafuta Chelski, na tusiafford kupoteza mechi. Timu inatakiwa ionyeshe njaa zaidi, sio kucheza na mpira maeneo muhimu bila kufunga!!
kweli kabisa japo tumeshinda lakini tumepoteza nafasi nyingi sana za wazi ambazo zingeweza kutu-cost.

i hope vijana watapata moyo wakujituma manake sijui hawaoni wenzao wanavyojituma au ndio kudekezwa na AW.
 
Kelele zimekuwa nyingi hivi hamjazoea kushinda!

Hahahahahaa kushinda mechi 27 bado tu hatujazoea kushinda...LOL! 🙂 Nyinyi mliyezoea kushinda mmeshinda mechi ngapi Mkuu!?
 
Refariiiiiz!

Hongera kwa kuongoza league

Hahahahaha hujajibu swali mkuu 🙂 nyinyi mliyezoea kushinda mmeshinda mechi ngapi zaidi ya GUNNERS? Kushinda huwa mnashinda nyinyi tu, tukishinda sisi basi tumebebwa....LOL!
 
Bendtner_666x448_990947a.jpg


In a Nick of time
 
Cesc-Fabregas-Arsenal-Sunderland-Premier-Leag_2422330.jpg


Cesc Fabregas is upended by Michael Turner as Arsenal face Sunderland at the Emirates.
 
...Next, Away game na Stoke City. Machungu ya FA cup bado ninayo,...I hope tutalipiza kisasi cha siku ile...!

Tutawabamiza tu ile mechi Carling cup team ndio ilicheza, jana nilichungulia match of the day Hansen anasema tutafungwa yeye bado ana imani kwamba timu yake ya Liverpool ndio watakuwa mabingwa. Jamaa anatia aibu sana yaani amekalia unazi tu.
 
Arsenal will be EPL champs. This is a prediction from Sumbawanga's prologers! Hongereni
 
Arsenal will be EPL champs. This is a prediction from Sumbawanga's prologers! Hongereni

Hahahahahah dua la kuku Mkuu....it could happen na hapo ndiyo itabidi urudi Sumbawanga ili jamaa akutabirie maisha yenu na yule mrembo wako wa Zenj yakatavyokuwa na mtapata watoto wangapi na wa jinsia ipi....hahahahahaha

Enjoy the remaining of your weekend 🙂
 
Back
Top Bottom