Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
mkuu hii issue ilikuwa ndani ya box ilikuwa swala la common sense kwa refa lakini kama kawaida tunaheshimu matokeo n we r moving on.rematch tutashinda kwa kishindo kikubwa tu wala sina wasi wasi.Thanks Graham, you've explained it very well....Same old Hypocrite Arsene Whinger lazima alalame ikiwa against kwake lakini anasema hajaona ikiwa imempa favour.
wakujilaumu ni sisi wenyewe huyo refa namtakia kila la kheri world cup manake nimeona jina lake kule lol.