Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
mpira unadunda anything is possible na ndoto yakoinaweza kufanikiwa.Stoke 2 Arsenal 1
mpira unadunda anything is possible na ndoto yakoinaweza kufanikiwa.Stoke 2 Arsenal 1
mpira unadunda anything is possible na ndoto yakoinaweza kufanikiwa.
Swadakita tutafunga Stoke kwao leo hii.Kwa mfano yaliyojiri darajani leo mh!
Muda bado wetu hawa...Muda si mrefu tutamuona Masanilo hapa...lol
nguvu tu mkuu na ndio ubovu wetu.inasikitisha sana tunaposhindwa kuforce ushindi au ku-fight extra hard hili kupata ushindi ukiangalia kwa matokeo ya darajani.Hawa nao! 🙁 wanaudhi kweli.