barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,804
Dah! ila dogo siku hizi pancha nyingi.Transfer Updates:
Arsenal wamemkosa tena Julian Draxler ambae muda mfupi ulopita amekamilisha usajili na timu ya Wolfsburg ya Germany akitokea Schalke.
Dirisha la usajili Barani Ulaya limeanza kufungwa.
Ujerumani wamefunga saa 12 jioni hii na madirisha mengine ya nchi za Italy kufungwa saa 4 usiku, Spain na France saa 5 za usiku na haya ndio madirisha muhimu sana.
Naomba uloza ajuae, hivi dirisha lilifungwa kwa mfano Spain bado liko wazi mtu kutoka?"
Naomba uliza, hivi dirisha likifungwa kwa mfano Spain bado liko wazi mtu kutoka?"
Dirisha linafunga kwa wale ambao hata paperwork hazijajazwa lakini kama process yote imefanyika na imebakia kusubmit papers kwemye FA inaweza yote yanafanywa hata baada ya dirisha kufungwa.
Ni sawa wewe unanduka lakini ikifika saa ya kufunga unageuza kibao kusema "Closed" badala ya upande wa "Open" akini unaweza kuwa na wateja ambao bado hawajalipia bidhaa.
Okei, nimekupata!
Ila kwa mfano Spain wameshafunga, je ni ruhusa mchezaji mfano wa Atletico bilbao kwenda Swansea ya Uingereza ambako dirisha halijafungwa bado au nayo ni lazima angalau paperwork iwe ilishaanzishwa huko Spain kabla ya dirisha kubamizwa??
Lets say issue ya Benzema na Arsenal!
Wakuu mpo?
Mzee Wenger sasa ndio ameingia sokoni.
Tupo hapa tunaangalia huku na kule.
Kama nilivyokishaorodhesha wale wachezaji ambao Wenger amewaagiza Ivan Gazidis, Richard Low na Robert Grimandy wafanye hima kukamilisha usajili wa ama Karim Benzema ambae atagharimu milioni 50, Gonzalo Higuaín ambae atagharimu milioni 69.1, Julian Draxler, Edinson Cavani, Victor Wanyama na Alexandre Pato.
Kuna majina mengine ambayo ndio yanaingizwa kwenye tanuri la uchaguzi.
Yeyote kati ya hawa anaweza kunyakuliwa na Arsenal kwenye kipindi cha masaa 24 yajayo.
..naona bora Wenger amchukue wanyama;kwanza tum block asiende spurz coz ht ss tunahitaji kiungo mkabaji,thn kwa Wenger nadhani pia issue ya bei ataifurahia kuliko kumwambia atoe 69 mil. kwa higuain.!!
Wanyama is not gonna happen
Flamini mpaka auzwe
Okei, nimekupata!
Ila kwa mfano Spain wameshafunga, je ni ruhusa mchezaji mfano wa Atletico bilbao kwenda Swansea ya Uingereza ambako dirisha halijafungwa bado au nayo ni lazima angalau paperwork iwe ilishaanzishwa huko Spain kabla ya dirisha kubamizwa??
Lets say issue ya Benzema na Arsenal!
Wakuu mpo?
Mzee Wenger sasa ndio ameingia sokoni.
Tupo hapa tunaangalia huku na kule.
Kama nilivyokishaorodhesha wale wachezaji ambao Wenger amewaagiza Ivan Gazidis, Richard Low na Robert Grimandy wafanye hima kukamilisha usajili wa ama Karim Benzema ambae atagharimu milioni 50, Gonzalo Higuaín ambae atagharimu milioni 69.1, Julian Draxler, Edinson Cavani, Victor Wanyama na Alexandre Pato.
Kuna majina mengine ambayo ndio yanaingizwa kwenye tanuri la uchaguzi.
Yeyote kati ya hawa anaweza kunyakuliwa na Arsenal kwenye kipindi cha masaa 24 yajayo.
Ni kweli wakuu sababu ya Draxler ni kwamba Jack Wilshere bado ni majeruhi, na pale kwatikati bado pana nafasi ya kujaza.
Mbele kule Danny Welbeck bado nae ni majeruhi na hata kwenye mechi na Newcastle hakukuwa na mshambuliaj mwingine wa kuingia.
Draxler kishaenda Wolfsburg
Nilitoa hio entry kabla ya hii ulionukuu.
Halafu mkuu mbona mnasajili mshambuliaji umri miaka 19 kwa 58 milioni na Januzaj na Chicharito wanatimuliwa?
Nini kimewapata mnatutupa pesa namna hio?
Wanyama is not gonna happen
Flamini mpaka auzwe
Transfer Updates:
Wakati Deal la Karim Benzema likiwa tayari limekufa kutokana na Real Madrid kuwa wagumu kumuachia mchezaji huyo, meneja Arsene Wenger jioni hii ameenda Paris kuangalia uwezekano wa kufanya usajili wa dakika za mwisho.
Wenger akitafuta kiti ndani ya ndege kuelekea Paris jioni hii.
Wenger alikuwemo kwenye ndege iliokuwa ikielekea Paris jioni hii kutokea London.
Wachezaji ambao mpaka jioni hii walikuwa wakifuatiliwa ni mshambuliaji Edinson Cavani na kiungo mlinzi Adrien Rabiot ambao kwa pamja wanaweza kugharimu kiasi cha kama paundi milioni 65.
Basi tukutane kesho asubuhi kwa habari zaidi.