Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu uko america nn? habari za asubuhi wenzio huku saa 8 mchana dsm jua kaliii..!
Tukirudi kwa asenali na wenga wetu kiukweli mi nishamchoka huyo mzee.Kwann anasubiri mpk dkk mbaya kama hizi ndio aanze kuleta habari za kumsajili mshambuliaji na kiungo mkabaji.?toka msimu uliopita kila mwenye macho alikua anaona mapungufu ya arsenal,mpk wachezaji wenyewe wakawa wanasema wanahitaji kuongezewa nguvu (refer cazorla), but wenger kama kawaida yake ni kutia pamba masikioni tu.
Leo ligi imeanza mechi ya tatu tumeshaachwa pointi 5 na gd 9 na mancity,hata kama tutajidanganya bado mapema ukweli ni kwamba arsenal haina ubora wowote wa kushindana na mancity na chelsea msimu huu labda itokee miujiza.

Hapana mkuu, nilipokuwa naandika wakti ule huku nilipo ilikuwa ni asubuhi.

Sasa napenda kuwahakikishia kuwa Arsenal watafanya usajili ila itakuwa ni kati ya Ijumaa na jumanne ijayo.

Meneja mwenyewe Wenger amesema kwamba Arsenal wapo sokoni na akipatikana mchezaji mwenye ubora unaotambulika basi watasajili.

Wenger ameishagundua kwamba Arsenal safari hii watapata tabu sana kushinda mechi zote iwe na timu za kawaida au zile kubwa kama Man City.

Ila meneja mzee Wenger ana tatizo na upangaji wa timu na hii imeonekana kwenye meci zote tatu zilizokwishachezwa.

Timu inayotakiwa kuwa inaanza mechi zote za ligi kuu ni ile timu ilianza kuceza mechi na Chelsea kwenye kombe la ngao.

Yaani Walcott anatakiwa aanze mbele, Oxdale Chamberlain pembeni, Ozil namba 10, Cazorla katikati akipanga vyumba. Nyumba kunakuwa na Ballerin kulia na Monreal kushoto. Kati Mertesacker na Cosy.

Tuna mechi ngumu zinakuja na tunaanza na Newcastle, halafu Stoke, Chelsea na Tottenham Hotspur.
 
i think wewe ni shabiki wa man U;afterall sijaizungumzia timu yako coz haina hata identity,hamfungi magoli,mpira uwanjani haueleweki,mpo mpo tu pamoja na usajili wa mapesa mengi mliofanya last season hamna timu yoyote mliyojenga,nawahofia kwenye champions league nawaona kbs mkitoka kwny makundi muende europa.
Yes; mi ni shabiki wa arsenal ila pamoja na hayo siwezi jitoa akili niseme arsenal watakua mabingwa come may this season,big No.

Hahaaaaa, soka safi? Basi thawa endeleeni kucheza soka safi sisi tunakusanya point tu, kumbe mna point ngapi vile??
Kuhusu champions league we kaa kimya tu mkuu watu watakucheka,
 
Attachments

  • 1440613015642.jpg
    1440613015642.jpg
    19.6 KB · Views: 91
  • Thanks
Reactions: Nzi
Hapana mkuu, nilipokuwa naandika wakti ule huku nilipo ilikuwa ni asubuhi.

Sasa napenda kuwahakikishia kuwa Arsenal watafanya usajili ila itakuwa ni kati ya Ijumaa na jumanne ijayo.

Meneja mwenyewe Wenger amesema kwamba Arsenal wapo sokoni na akipatikana mchezaji mwenye ubora unaotambulika basi watasajili.

Wenger ameishagundua kwamba Arsenal safari hii watapata tabu sana kushinda mechi zote iwe na timu za kawaida au zile kubwa kama Man City.

Ila meneja mzee Wenger ana tatizo na upangaji wa timu na hii imeonekana kwenye meci zote tatu zilizokwishachezwa.

Timu inayotakiwa kuwa inaanza mechi zote za ligi kuu ni ile timu ilianza kuceza mechi na Chelsea kwenye kombe la ngao.

Yaani Walcott anatakiwa aanze mbele, Oxdale Chamberlain pembeni, Ozil namba 10, Cazorla katikati akipanga vyumba. Nyumba kunakuwa na Ballerin kulia na Monreal kushoto. Kati Mertesacker na Cosy.

Tuna mechi ngumu zinakuja na tunaanza na Newcastle, halafu Stoke, Chelsea na Tottenham Hotspur.

..nimeshamzoea;kila siku anasemaga if a top top talent turns up i will, huku tunaona wachezaji wanatoka huku wanaenda kule sie tunakodoa macho tu,leo august mwishoni tena baada ya kuona timu inaelekea pabaya ndio anarudia hizo sound zake za miaka yote.Akitaka nimuelewe alete either benzema au cavani ndio top top anaowasemaga sio aende kuokota mtu huko hata hafamiki,ameshatugeuza viazi sana inatosha.
 
Hapana mkuu, nilipokuwa naandika wakti ule huku nilipo ilikuwa ni asubuhi.

Sasa napenda kuwahakikishia kuwa Arsenal watafanya usajili ila itakuwa ni kati ya Ijumaa na jumanne ijayo.

Meneja mwenyewe Wenger amesema kwamba Arsenal wapo sokoni na akipatikana mchezaji mwenye ubora unaotambulika basi watasajili.

Wenger ameishagundua kwamba Arsenal safari hii watapata tabu sana kushinda mechi zote iwe na timu za kawaida au zile kubwa kama Man City.

Ila meneja mzee Wenger ana tatizo na upangaji wa timu na hii imeonekana kwenye meci zote tatu zilizokwishachezwa.

Timu inayotakiwa kuwa inaanza mechi zote za ligi kuu ni ile timu ilianza kuceza mechi na Chelsea kwenye kombe la ngao.

Yaani Walcott anatakiwa aanze mbele, Oxdale Chamberlain pembeni, Ozil namba 10, Cazorla katikati akipanga vyumba. Nyumba kunakuwa na Ballerin kulia na Monreal kushoto. Kati Mertesacker na Cosy.

Tuna mechi ngumu zinakuja na tunaanza na Newcastle, halafu Stoke, Chelsea na Tottenham Hotspur.

Babu wenger anzingua sana aisee arsenal inanikatisha tamaa sana mkuu ,kuhusu usajili nishagive up nasubiri iyo sept 1 nione inakuaje rumors kibao babu hataki kusajili, jmos tuko na Newcastle away then stoke home kuna possibility ya kulose point zote apo na mahaba yake na giroud ata simwelewi jamaa halijitumi linashindwa kutumia advantage ya body yake kwa staili ile linawadiscourage wapambanaji Kama kina ozil, Ramsey cazorla ,Alexis
 
..."shida tuliyonayo sisi ni holding midfielder,centre forward na centre back.."
you are spot on brother...
now unadhani Wenger anaweza jaza hizo nafasi tatu kwa muda uliobaki ili arsenal ilete ushindani? km hatasajili maana yake nn....
Last season mwz wa 10 au 11 tulishaondolewa kwny mbio za ubingwa,this season again wont make any difference it will be the same.Mechi tatu za kufungua msimu tyr hakuna anayeifikiria arsenal kuhusu ubingwa.
#yeswengerisnaive! anajiona yy ndio anajua zaidi ya dunia nzima..damn..
#wengerout!

Unamaanisha hivi?
 
Attachments

  • 1440613708597.jpg
    1440613708597.jpg
    59.4 KB · Views: 81
  • Thanks
Reactions: Nzi
Injury news updates:

Per Mertesacker anafanyiwa uchunguzi kama anaweza kwenda Newcastle jumamosi, wakati Laurent Koscielny nae bado ana maumivu ya mgongo na hatocheza mechi hio.

Hivyo kama hali itakuwa ni hivyo kukosekana kwa nahodha na msaidizi wake basi mabeki wa akiba Gabriel Paulista na Calum Chambers ambao jumatatu walicheza vizuri sana dhidi ya Liverpool watacheza tena kukabiliana na kikosi kamili cha Newcastle Utd.

Gabby alikuwa na jukumu la kumdhibiti Cristian Benteke kwa muda wote wa mchezo na atatarajiwa kuendeleza kazi hiyo jumamosi.

Timu ya Newcastle Utd inafundishwa na aliekuwa meneja msaidizi wa Man Utd wakati ikiwa chini ya mzee Alex Ferguson na amewahi kufundisha timu ya taifa ya Uingereza.

Newcastle inaikaribisha Arsenal kwenye uwanja wake wa St James Park ikiwa imetoka kuwapa kazi ngumu Man Utd pale Old Traford kwa kucheza mtindo wa watu 10 nyuma ya mpira kwa muda mrefu huku wakifanya mashambulizi ya kustukiza jambo lilopelekea kuambulia point moja muhimu.

Lakini Newcastle hawatarajiwi kucheza mtindo huo nyumbani kwao St James Park siku ya jumamosi na Arsenal wanatarajiwa kuwafungua mabeki wa timu hiyo.

Newcastle wanaongozwa na beki mshahara na nahodha wao Fabricio Coloccini, beki mpya wa kulia Chancel Mbemba Mangulu ambae wamemsajili kutoka timu ya Anderletch ya Belgium, kiungo mpya wa pembeni Florian Thauvin ambae wamemsajili kutoka Marseille ya France na mshambuliaji Alexander Mitrovic ambae nae kama Mbemba anatoka timu ya Andeletch na alisajiliwa kwa paundi milioni 13.

Hivyo kwa kuwaangalia Newcastle ya sasa si ya kuibeza na Arsenal inaenda Newcastle kwa lengo moja tu, piga goli mbili za haraka za kushtukiza na ikiwezekana ongeza.
 
Game ya Newcastle na Stoke itanipa uelekeo wa kikosi Chetu msimu huu..

Wenger asiposajili mshambuliaji tutakuwa wasindikizaji wa makombe yote tutakayoshiriki
 
Hahaaaaa, soka safi? Basi thawa endeleeni kucheza soka safi sisi tunakusanya point tu, kumbe mna point ngapi vile??
Kuhusu champions league we kaa kimya tu mkuu watu watakucheka,

..timu yenu imeonekana kidogo na kaunafuu baada ya kupewa hao wabelgiji,mpk vipofu wamefunga hat trick ngoja mrudi kwa wanao jua.!!
 
..timu yenu imeonekana kidogo na kaunafuu baada ya kupewa hao wabelgiji,mpk vipofu wamefunga hat trick ngoja mrudi kwa wanao jua.!!

tuna point 7 za kwenye ligi au nayo ligi ni ya ubelgiji?
hao wabelgiji walifika robo fainali ya Europe league, vp livapuli na Everton wanaocheza ligi ngumu walifika wapi?
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
tuna point 7 za kwenye ligi au nayo ligi ni ya ubelgiji?
hao wabelgiji walifika robo fainali ya Europe league, vp livapuli na Everton wanaocheza ligi ngumu walifika wapi?
...eti walifika robo fainali ya europa hahaaaa,kweli mmecheza na bonge la timu..!!
 
...eti walifika robo fainali ya europa hahaaaa,kweli mmecheza na bonge la timu..!!

Kaa tulia, jiulize westham walikutandikaje zile mbili, ukiendelea kuiwaza utd utazidi kuumia tu, na unachokitaka hakitokei,
Ukiona maumivu yanazidi muone huyu
 
Attachments

  • 1440656020375.jpg
    1440656020375.jpg
    21.1 KB · Views: 140
  • Thanks
Reactions: Nzi
Kaa tulia, jiulize westham walikutandikaje zile mbili, ukiendelea kuiwaza utd utazidi kuumia tu, na unachokitaka hakitokei,
Ukiona maumivu yanazidi muone huyu

..ss wakumtuliza m
 
Kaa tulia, jiulize westham walikutandikaje zile mbili, ukiendelea kuiwaza utd utazidi kuumia tu, na unachokitaka hakitokei,
Ukiona maumivu yanazidi muone huyu

ss wakumtuliza mwenzie nani.. nadhani hii ni arsenal special thread,em jiulize unafanya nn huku.!!
 
Japo mnazungumzia sana fowadi ila mimi kichwa kinaniuma zaidi kwenye beki amini nawaambia tunatakiwa kununua beki!
 
ss wakumtuliza mwenzie nani.. nadhani hii ni arsenal special thread,em jiulize unafanya nn huku.!!

Kumbe humu ni kwa washabiki wa Goons tu?!? 😳😂😳😂

Utakuwa mgeni weye!
 
Back
Top Bottom