Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

i think wewe ni shabiki wa man U;afterall sijaizungumzia timu yako coz haina hata identity,hamfungi magoli,mpira uwanjani haueleweki,mpo mpo tu pamoja na usajili wa mapesa mengi mliofanya last season hamna timu yoyote mliyojenga,nawahofia kwenye champions league nawaona kbs mkitoka kwny makundi muende europa.
Yes; mi ni shabiki wa arsenal ila pamoja na hayo siwezi jitoa akili niseme arsenal watakua mabingwa come may this season,big No.

Sasa huo ndio mpila safi wewe jitahidi uitambue time yako tu
 
..ili arsenal bingwa kwa uhakika inatakiwa man city na chelsea wapoteze pointi nyingi sana.Kuchukua ubingwa kwa tofauti ya pointi 3-9 kwa arsenal hii nna wasiwasi nao sn,ubaya wetu hua tunapigwa tu halafu popote mpk unashangaa hawa watu leo wamekunywa nn (refer westham emirates),hapo bado kuna draw ambazo sijui zitakua ngp.Inshort arsenal kua bingwa hao wawili lzm wapoteze pointi nyingi sn..

Hapana angalia game ya mwisho second half unakumbuka mzee alifanya kitu gani tukawa tunaonekana tuna striking force kubwa japo forward yetu ilikua hovyo?? Ndio maana nakwambia shidaa ni centre forward tu si kitu kingine
 
..ili arsenal bingwa kwa uhakika inatakiwa man city na chelsea wapoteze pointi nyingi sana.Kuchukua ubingwa kwa tofauti ya pointi 3-9 kwa arsenal hii nna wasiwasi nao sn,ubaya wetu hua tunapigwa tu halafu popote mpk unashangaa hawa watu leo wamekunywa nn (refer westham emirates),hapo bado kuna draw ambazo sijui zitakua ngp.Inshort arsenal kua bingwa hao wawili lzm wapoteze pointi nyingi sn..
Kupigwa home au away EPL kwa siku hizi ni kitu cha kawaida, mbona chelsea kwa Swansea alipimulia machine?
 
Me humu naanza kuhesabu majeruhi tu maana kuna mtu nilimwambia ao players wake wengi ni wagonjwa asidanganyike na pre season matches. Nadhani muda kidogo arsenal itarudi kule kule

Hakuna timu haipati majeruh msiwe wepes kukata tamaa angalien mpila wazee
 
..ili arsenal bingwa kwa uhakika inatakiwa man city na chelsea wapoteze pointi nyingi sana.Kuchukua ubingwa kwa tofauti ya pointi 3-9 kwa arsenal hii nna wasiwasi nao sn,ubaya wetu hua tunapigwa tu halafu popote mpk unashangaa hawa watu leo wamekunywa nn (refer westham emirates),hapo bado kuna draw ambazo sijui zitakua ngp.Inshort arsenal kua bingwa hao wawili lzm wapoteze pointi nyingi sn..

Unajua kiungo mkabaji anajiamini kufanya anachofanya ikiwa forward INA impact kubwa mfano ozil unafanya kazi kubwa lakini huwez kuona kazi yake sababu forward hana impact
 
Huwez kuona uzaifu wa defence ikiwa forward inakeep the ball kwa kujalibu kufanya attempts hai,sisi tunaonekana wachovu kati sababu foward hatuna hivyo kwa timu yenye kufanya counter attack au striking force kubwa inalazimu 6 arudi chini kusaidia sasa apo ndipo huwiano unapotea lakini ishu ni centre forward kwanza kama unakumbuka tatizo la holding midfielder wakati flani tulipata hauen baada ya huyu dogo Francis couqline kurudi pale....ishu ni centre forward time haina impact mbele viungo wako wengi sio ishu sana sababu mfumo wa kukaa na mpila ni defence tosha yote unayaona vizuri sababu hatuna centre forward... Kusu kusajili sizani kama atasajili......NB; refer fc barca hawapati impact kubwa nyuma sababu forward mbele impact yake ni kubwa ndicho tunachoitaji ofcoz Francis ni mzuri sema hatuna mtu wa mwisho mbele.

holding midfielder,centre forward na centre back..hao watu lzm waje arsenal km kweli tunataka ubingwa kwa kushindana tuongoze ligi na sio kusubiri wengine wateleze.
Umeizungumzia barca pamoja na kwamba unasema wana posess sn mpira ndio inawasaidia kujilinda but tazama last season MNS wamefunga goli zaidi ya 100,kwani siku ile tukipigwa na westham emirates hatukuwa tumewazidi possession? issue ni kwamba timu lzm iwe bora no matter mna possess au vp.Km wenger angesajili kiungo mkabaji mapema na striker leo tungekua tunazungumza mengine kbs,tatizo yule mzee ni mbishi..keep on doing same thing expecting different results
#lunatic!
 
Kupigwa home au away EPL kwa siku hizi ni kitu cha kawaida, mbona chelsea kwa Swansea alipimulia machine?

fighting spirit..ht km tunapigwa angalau tuoneshe tulipambana,sio kupigwa kwa namna ile tuliyopigwa na westham..
 
holding midfielder,centre forward na centre back..hao watu lzm waje arsenal km kweli tunataka ubingwa kwa kushindana tuongoze ligi na sio kusubiri wengine wateleze.
Umeizungumzia barca pamoja na kwamba unasema wana posess sn mpira ndio inawasaidia kujilinda but tazama last season MNS wamefunga goli zaidi ya 100,kwani siku ile tukipigwa na westham emirates hatukuwa tumewazidi possession? issue ni kwamba timu lzm iwe bora no matter mna possess au vp.Km wenger angesajili kiungo mkabaji mapema na striker leo tungekua tunazungumza mengine kbs,tatizo yule mzee ni mbishi..keep on doing same thing expecting different results
#lunatic!

Kaka believe me centre forward kwanza na akishuka Leo au kesho hutaona hiyo shida ya nyuma na kati
 
holding midfielder,centre forward na centre back..hao watu lzm waje arsenal km kweli tunataka ubingwa kwa kushindana tuongoze ligi na sio kusubiri wengine wateleze.
Umeizungumzia barca pamoja na kwamba unasema wana posess sn mpira ndio inawasaidia kujilinda but tazama last season MNS wamefunga goli zaidi ya 100,kwani siku ile tukipigwa na westham emirates hatukuwa tumewazidi possession? issue ni kwamba timu lzm iwe bora no matter mna possess au vp.Km wenger angesajili kiungo mkabaji mapema na striker leo tungekua tunazungumza mengine kbs,tatizo yule mzee ni mbishi..keep on doing same thing expecting different results
#lunatic!

Angalia game ya mwisho second half ilikuaje n tatizo lililo onekana wazi ni centre forward ikafikia wakati kina cazora na Ramsey wakawa wanajaribu kupiga nje ya box kumbuka
 
tusijiliwaze na perfomance ya second half dhid ya liverpool. mzee wenger ana mengi ya kufanya kuhakikisha arsenal inacompete for major trophies. i suggest aanze kuifuma timu kuanzia nyuma, siku hiz watu tunaangalia gemu za arsenal kama adhabu shehe! roho juu juu muda wowote kibanda kinaungua! pathetic Wenger! Aaaarghhhh
 
Kaka unahasira ila mzee ulivyo p anaweza asisajili kabisaa yaan
 
..yap; kuliko akurupuke hizi siku chache zilizobaki aende kutuokotea kifaa kisichojulikana, bora aache kabisaaa coz nishamzoea ni kichwa ngumu..
 
profesa wenger anazeeka vibaya mkuu. nadhan he has got something in common with professor Lipumba.

Yani mpaka sasa nashindwa kuelewa what makes him relax yani huyu mzee daa huangalii game ya arsenal bila mvinyo kichwani inakeraaa huyu mzeee kummamakkkkkke
 
Back
Top Bottom