Mabingwa wa msimu huu tutaanza kesho. Mliopata own goal mtajuta sana...
Fucccck mechi ya kwanza tunalala hivi
Mwaka huu unaangalia game pembeni ukiwa na ndovu bila pressure
Pressure ya nini na vijana wanampiga mtu gori zaidi ya moja..... hapo zinateremka taatibuu
What the *** hii timu bhana
Tulia kijana dozi ikuingie.....Safari ya matumainiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!
Hii naona inaweza kuwa kipigo kizuri, dirisha la usajili bado halijafungwa, wenger adungue macho kuwa O.G na Walcott sio washambuliaji wa kufunga 25+ goals a season, ila top four ya nne bado ipo.
Hii naona inaweza kuwa kipigo kizuri, dirisha la usajili bado halijafungwa, wenger adungue macho kuwa O.G na Walcott sio washambuliaji wa kufunga 25+ goals a season, ila top four ya nne bado ipo.
J2 mnaenda kwa Palace
seriously?! kwa game moja?!!!!!!! fact nyinge bhana, zinachekesha sana ..............hahahahahaha
Selhurst Park ni pabaya sana kwa timu kubwa, cha muhimu wenger azibe mapengo yaliyopo, bado mapema, surprise zitakuja kwa kila timu kubwa, kwetu imekuwa mapema!
Maumivu ya kichwa, huanza pole pole!!
Tumia HEDEX!
Sauti safi, sauti kubwa, Philips, Ndio Yenyewe.
Nunua redio ya Philips kwa sauti safi na isiyo na chenga (kama Arsenal).
Hii mwaka ina muziki muneneee!!
Hii nzuri, itampa hamasa mzee kuingia sokoni.
Selhurst Park ni pabaya sana kwa timu kubwa, cha muhimu wenger azibe mapengo yaliyopo, bado mapema, surprise zitakuja kwa kila timu kubwa, kwetu imekuwa mapema!
Kutereza si kuanguka. Tutarudi tunapostahili muda si mrefu na kulibeba kombe. Makosa yatasahihiswa kesho. Muda wenu kucheka na kufurahia kutereza kwa tembo...
everlenk, Belo, Bavaria, Nzi, mentor and compay.