Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tatizo lako harrera dogo sana na litakwisha kama si kuhama makazi kabisa watu wako serious

yaani mashabiki wa arsenal mnanishangaza sana wanaoijua arsenal wamekaa kimya ila wenzangu na Mimi thathaaaa! kikosi mlichonacho ndio hicho kilichoshindwa kuchukua msimu uliopita kisa mmemuongeza cech basi tayari ubingwa, hahaaaaa poor Wenger, msimu wa mwaka juzi muliongoza ligi kwa zaidi ya miezi miwili lakini kilipofika kipindi cha out for two months, mkaanza kuomba Everton apigwe ili muwe wa 4 , saizi hata ligi haijaanza mmeanza tena, ok mabingwa watarajiwa ngoja niwape hongera zenu mapemaaa mabingwa wetu.
 
Si kama wewe unavyoijua man kwamba mtagombea nafasi ya NNE
 
yaani mashabiki wa arsenal mnanishangaza sana wanaoijua arsenal wamekaa kimya ila wenzangu na Mimi thathaaaa! kikosi mlichonacho ndio hicho kilichoshindwa kuchukua msimu uliopita kisa mmemuongeza cech basi tayari ubingwa, hahaaaaa poor Wenger, msimu wa mwaka juzi muliongoza ligi kwa zaidi ya miezi miwili lakini kilipofika kipindi cha out for two months, mkaanza kuomba Everton apigwe ili muwe wa 4 , saizi hata ligi haijaanza mmeanza tena, ok mabingwa watarajiwa ngoja niwape hongera zenu mapemaaa mabingwa wetu.

Shiiiiiiiiiiiiii!!!! Usipige kelele tumeanza safari ya matumaini..........
 
Mimi nilidhani baada ya wewe kujua mimi ni Arsenal fan utakimbia uogope hata kujigamba kumbe ni tofauti!
Haya mama mimi ni Arse8 lakini mwenzio nimenyanyua kwapa kila msimu (FA & community shield)....vipi wewe mzee wa mchangani a.k.a Europa?
Teh Teh Teh

Hiii safi sana ujumbe umewafikia
 
Nani awachukie nyie mababu united cc ENZO
waache wajitambe tu!' na vibabu vyao!' ............ msimu ujao nafas ya 8 inawahusu. atakuja mwenyewe hapa na bango LVG OUT.

Hahahaaa ENZO hata usimwite maana yupo kwenye maombolezo na kwa fununu nasikia anahamia OT

kuhamia kw vibabu!' "over my dead body"
Cc.Mbowe
 
Last edited by a moderator:
Since Arsenal last won a trophy
Manchester United have spent over £200M and still haven't won anything yet.
LVG has done everything to empty Manchester United checking account by buying one flop after another
LVG's philosophies haven't reached Manchester United players thick brains.
Welbeck has left Manchester United won a FA Cup and two Community Shields.
LORD Bendtner has come off the bench scored an equalizing goal and a winning Pk over Bayern Munich.
Sanchez has won FA Cup, Community Shields and Copa America on his own.
Wenger has finally defeated Mourinho.
Obama has visited Tanzania and Kenya and ate Ugali na kisamvu.
Lowassa has left CCM for UKAWA.
 
Nothing imposible!!!!
 
article-3183901-2B10843400000578-14_964x386.jpg

Nasikia ati Manure hawakushiriki Kombe la FA Cup, chijui walipigwa kwao na nani ... watakonda tu!
Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
2B0FAB2A00000578-3183812-image-a-12_1438599811830.jpg

Alexis akila dinner na family members nchini Chile
kabla ya kupanda pipa .... .. ...
Anategemewa London wakati wowote ule mtondogo ..... .

Roy Keane atakasirika akiona hii picha lol
 
Top-5-players-who-could-lead-arsenal-to-2015/16-epl-glory/

5. Francis Coquelin

Since Arsene Wenger recalled the holding midfielder back from loan at Charlton our form has been exceptional. He is the one that provides the anchor allowing the likes of Ozil, Cazorla and Sanchez do what they do best going forward. Because of his role in that midfield his technical ability is underrated but he has shown some good skills. If we are going to challenge this season there is no doubt that we will need his destructive force in that midfield...more
 
Sanchez ndani ya nyumba , Benzema naye anataka, Muller anasikilizia.Ebana kama wimbo "California Love" vile ligi haianzi mapema "tuanze kuheshimiana" kama wale jamaa wa kule wanavyosemaga?
 
Back
Top Bottom