hivi kule kwenu ni nani tena yule huwa mnambebesha at least hata bilauri kila mwaka
mkuu unanikosea heshima mimi nina MSN alf wewe wanitajia benzema eeechafyaaaaaaaaaaa utnipa mafua
Mtakonda sana mwaka huu ... ... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee tetesi Reus na Benzima on the radar na mpunga tunao .... .. hatukopi kama mafioso .. ... ... patamu hapo Ding ... Dong
Hahaaaaa, we jamaa mkorofi wewe, but hongereni sana wadau at least pambio za yule bi shosti mou zitapungua
Cech mate three competition three medals and still counting .... .... .... . watajuta pay back time ... ... ... . . whos better Cash Cole or Cesc .... .... ..
Kuna watu walitegemea hii klabu haita-recover toka katika financial crisis iliyosababishwa na uwanja mpya. Miaka hii 2 au 3 tumeona jinsi gani long term plan inavyoanza kutoa matunda. Hatujauza au kukimbiwa na mchezaji tegemeo katika kipindi hicho kama ilivyokuwa awali. Kila msimu Arsenal wamenunua mchezaji mzuri na mzoefu anayeongeza ufundi katika timu. Vile vile katika kipindi hicho(misimu 2) tumeona jinsi timu nyingine (Man Utd na Liverpool) zinavyopoteza mwelekeo kidogo kidogo, wachezaji wao wazuri wanaanza kuangalia usawa mpya
coquelin anazidi kutudhirishia kuwa hatuna haja ya kusajili offensive midfielder. Ila ningependa mzee atushushie world class striker
Heeeee! Kumbe pwilo ni mwana Arsenal mwenzangu?Jamani majirani hongerezi kwa kumliza moureen
Hongereni kwa ushindi View attachment 273162 cc. pwilo
Mimi nilidhani baada ya wewe kujua mimi ni Arsenal fan utakimbia uogope hata kujigamba kumbe ni tofauti!Hahahaaaa mami na wew ni ase8 hahahaaa hongereni kwa kupata kombe la sahani..
Wenger nomaaa...
Cc. ENZO
Mimi nilidhani baada ya wewe kujua mimi ni Arsenal fan utakimbia uogope hata kujigamba kumbe ni tofauti!
Haya mama mimi ni Arse8 lakini mwenzio nimenyanyua kwapa kila msimu (FA & community shield)....vipi wewe mzee wa mchangani a.k.a Europa?
Teh Teh Teh
Hahahaaaa kombe la sahani..
Mimi ni mtoto wa OT.
Sifa zake....
Club bora duniani.
Club yenye pesa.
Tunaongoza kwa kuwa na makombe ya ushindi mengi kuliko club yoyote.
Tuliwafunga arsenal 8-2
Usajili tuliofanya ni bab kubwa hadi wenger na mourin wamebaki midomo wazi.
Tumewafunga barca juzi kweny pre season.. cc PNC 1.
Haijawahi kutokea arsenal kutufunga (hahahaaa)
Liverpool wanatuchukia ili wapande daraja cc. DONNGO.
GGGMU