Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hahahaaaa kombe la sahani..
Mimi ni mtoto wa OT.
Sifa zake....
Club bora duniani.
Club yenye pesa.
Tunaongoza kwa kuwa na makombe ya ushindi mengi kuliko club yoyote.
Tuliwafunga arsenal 8-2
Usajili tuliofanya ni bab kubwa hadi wenger na mourin wamebaki midomo wazi.
Tumewafunga barca juzi kweny pre season.. cc PNC 1.
Haijawahi kutokea arsenal kutufunga (hahahaaa)
Liverpool wanatuchukia ili wapande daraja cc. DONNGO.
GGGMU
Mhhhh, ngoja nikae kimya tu kulinda heshima maana naweza chafua hali ya hewa hapa sasa hivi....
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaaa usikae kimya kwani hii ni uongo? 1438576936996.jpg cc. Cardinal06
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa kombe la sahani..
Mimi ni mtoto wa OT.
Sifa zake....
Club bora duniani.
Club yenye pesa.
Tunaongoza kwa kuwa na makombe ya ushindi mengi kuliko club yoyote.
Tuliwafunga arsenal 8-2
Usajili tuliofanya ni bab kubwa hadi wenger na mourin wamebaki midomo wazi.
Tumewafunga barca juzi kweny pre season.. cc PNC 1.
Haijawahi kutokea arsenal kutufunga (hahahaaa)
Liverpool wanatuchukia ili wapande daraja cc. DONNGO.
GGGMU

Fa cup umesahau???? Af kuna CV yako moja hujaiweka >>>kugombea big four
 
Hahahaaaaaa sisi sasa hivi tunagombea ubingwa bhana.
Top four ni liver na Chelsea wanagombania..
Chelsea wanaweza wakawapisha liver kwenye top 4
 
Hahahaaaa kombe la sahani..
Mimi ni mtoto wa OT.
Sifa zake....
Club bora duniani.
Club yenye pesa.
Tunaongoza kwa kuwa na makombe ya ushindi mengi kuliko club yoyote.
Tuliwafunga arsenal 8-2
Usajili tuliofanya ni bab kubwa hadi wenger na mourin wamebaki midomo wazi.
Tumewafunga barca juzi kweny pre season.. cc PNC 1.
Haijawahi kutokea arsenal kutufunga (hahahaaa)
Liverpool wanatuchukia ili wapande daraja cc. DONNGO.
GGGMU

wewe cute b hv wewe na man u yako mnalip la maana tangu lin mkajisifu mbele ya wanaume zenu barca sababu messi kashakupiga hatttick kama hyo haitosh etoo kakufumua 4 kingine type zenu kusajil wazee alaf mnafungwa had na matuid bado mnajiita vidume vp 2:0asenal walizokupiga nusu fainal Na hyo mizee yenu mtakoma yan man.u ndio timu ya ajabu ndani ya miez 12 mmesajil wachezaj 11 alaf matokeo yake mmeambulia nafas ya 4
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu walitegemea hii klabu haita-recover toka katika financial crisis iliyosababishwa na uwanja mpya. Miaka hii 2 au 3 tumeona jinsi gani long term plan inavyoanza kutoa matunda. Hatujauza au kukimbiwa na mchezaji tegemeo katika kipindi hicho kama ilivyokuwa awali. Kila msimu Arsenal wamenunua mchezaji mzuri na mzoefu anayeongeza ufundi katika timu. Vile vile katika kipindi hicho(misimu 2) tumeona jinsi timu nyingine (Man Utd na Liverpool) zinavyopoteza mwelekeo kidogo kidogo, wachezaji wao wazuri wanaanza kuangalia usawa mpya

Hizi chai nyingine siyo kabisa, Embu leta evidence nani wa kutegemewa haswaa aliyeondoka Man U ? Na alivyoondoka kuna kilichopungua? Wachezaji huingia wachezaji hutoka still Man U inasonga Mbele.
 
naona unajipa moyo kupitia utd, wachezaji wazuri kuondoka utd hawajaanza leo wala Jana, ronaldo katika ubora wake, beck, RvN kwahyo usijipoze kuondoka kwa di Maria ukajiwka level moja na utd watu watakushangaa. pia haya mafanikio yakuchukua ngao ya hisani yasukuchanganye ukadhani umefika bado unasafari ndefu sana to premier league. maana nikaugonjwa kenu sugu kuongoza ligi miezi mitatu bdy unakua 4th contender.
Napita tu japokua mmenifurahisha kunibamizia kale kajamaa.

Tatizo lako harrera dogo sana na litakwisha kama si kuhama makazi kabisa watu wako serious
 
Jana ulikuwa siku nzuri sana kwetu wana Arsenal.Hasa kumfunga mdomo Morinho.Na nyumbani Azam kuchukua ndoo ilikuwa siku ya amani sanaa.Hongereni BUNDUKI"S wote mema mengi yako njiani kwa stoo yetu ya vikombe.
 
Hizi chai nyingine siyo kabisa, Embu leta evidence nani wa kutegemewa haswaa aliyeondoka Man U ? Na alivyoondoka kuna kilichopungua? Wachezaji huingia wachezaji hutoka still Man U inasonga Mbele.

Falcao,Di maria anatafuta njia,young anatafuta njia vanpersie kasepa
 
Inasongaje mbele wakati inaporomoka
 
Falcao,Di maria anatafuta njia,young anatafuta njia vanpersie kasepa

Dohhh!!! Unachekesha kweli yaani watu waliocheza msimu mmoja ndo wa kutegemewa?......Young yupo ila anahofu tu kwamba ujio wa Pedro utamuweka Benchi......
 
wewe cute b hv wewe na man u yako mnalip la maana tangu lin mkajisifu mbele ya wanaume zenu barca sababu messi kashakupiga hatttick kama hyo haitosh etoo kakufumua 4 kingine type zenu kusajil wazee alaf mnafungwa had na matuid bado mnajiita vidume vp 2:0asenal walizokupiga nusu fainal Na hyo mizee yenu mtakoma yan man.u ndio timu ya ajabu ndani ya miez 12 mmesajil wachezaj 11 alaf matokeo yake mmeambulia nafas ya 4

Yaan wew mkuu barca wamekuloga si bure.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom