MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Really!!! Lewandosky...!!! Kuna watu hawajaamka na ni 18:05pm...mnaishi time zone gani?
Jamaa wanachekesha sana hao unajua...ukijiskia kucheka ingia humu, hahahahaha!
Really!!! Lewandosky...!!! Kuna watu hawajaamka na ni 18:05pm...mnaishi time zone gani?
chelsick 2 l a galaxy 4
shusha neti ulale
aisee wakuu hii mechi ya arsenal vs lyon inaonyeshwa channel ipi maana nmesearch supersport siipati na mda wnyw ndo huu inatakiwa kuanza.
Saint Carzolaaaaaaaaaa
Mimi huwa namuita Fundi,akiwepo uwanjani anaufinya finya mpira ni burudani tosha
![]()
Mambo ya Emirates hayo .... ...... Ding ... Dong
mwenye macho haambiwi tazama
![]()
Super Ozil .... ....
![]()
You know what .... .. we are just warming up!
![]()
Rambo slide rule .... ..
![]()
![]()
Alex Iwobi celebrats .... ..
![]()
The 19 year old teenager
![]()
The Ox joined the party ... ...
![]()
What about the opener .... .... .. wanachema hatuna N0. 9
![]()
as you like it ... ... ... OG shows the way ... ... . COYG .... .... .. Ding ... Dong
Arsenal 6-0 Lyon