Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,754
- 26,021
kuna habari ya bemzema, au ni rumor tu
Karim Benzema
Ukiona Wenger na Benitez wamerukia kukataa habari za usajili wa huyu jamaa basi ufahamu kwamba kuna ukweli Fulani.
Arsenal wameweka mezani paundi milioni 40 ambazo Real Madrid hawataweza kuzikataa.