rubaman
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 4,983
- 3,084
Eti nao wana Carlos Sanchez! Anaingia kuchukua nafasi ya Ashley Westwood
Dakika inakwenda ya 71
Mbona hujasema eti na sisi tuna Jack?... Jack Grealish na Jack Wilshere.
Eti nao wana Carlos Sanchez! Anaingia kuchukua nafasi ya Ashley Westwood
Dakika inakwenda ya 71
Mh..... Mkiwapata wasiojua, idara zote mnatawala . natania tu
Mbona hujasema eti na sisi tuna Jack?... Jack Grealish na Jack Wilshere.
Khe Khe kheeeeeeeee....CC: Mentor
By BAK
Kuteleza si kuanguka, Winners of FA Cup for two consecutive years....Arsenal 3 AV 1 (May 30th, 2015)
By Mentor Ha!!!! Wewe ndo mtabiri nani vile?
Aston Villa si unafahamu waliifunga Liverpool kufikia fainali.
Hivyo si timu rahisi hivyo.
Wakuu hili jamvi leo limekaa kiajabuajabu sana kuona notifications ni kwa mbinde, kutafuta threads nako ni mbinde hata kupost. Hivi hili tatizo ni kwangu tu au wenzangu nanyi mmeliona? Yaani ni karaha tupu CC: Invisible
Aaa ile ilipigwa sita na stoke, inammiliki seasonal floooooop player balotelii, nyie jipigien tu, si mtakutana na Chelsea the pride of London kwenye ngao ya hisan eti?